Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosaNonda aliondoka yanga akaenda kucheza Africa kusini kama yanga walimuuza taja kiasi walichomuuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosaNonda aliondoka yanga akaenda kucheza Africa kusini kama yanga walimuuza taja kiasi walichomuuza
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa hapa makolo katika picha. Tuzidi kuwaombea kuna siku tutaona watu wanatembea wakijisemesha wenyeweNyie mikia wamechanganyikiwa vibaya, ligi imewaendea kombo... Feisal haijawa walivyotaka.
Hawajui washike wapi waache wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Simba walimuuza Sammata Mazembe pia walipata mgao baada ya Mazembe kumuuza Sammata ubelgiji kutokana na kipengele kilichowekwa baada ya kumuuza Sammata Kwa MazembeKwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa
Yanga kujisifia Kwa Nonda kwangu Mimi SI tatizoKwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa