Ni ofa gani kutoka nje Yanga alishaikubali? Sisi ndio timu inaongoza kubania wachezaji nchini?

Ni ofa gani kutoka nje Yanga alishaikubali? Sisi ndio timu inaongoza kubania wachezaji nchini?

Nyie mikia wamechanganyikiwa vibaya, ligi imewaendea kombo... Feisal haijawa walivyotaka.
Hawajui washike wapi waache wapi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawa hapa makolo katika picha. Tuzidi kuwaombea kuna siku tutaona watu wanatembea wakijisemesha wenyewe
JamiiForums974516474.jpg
 
Kwanin Simba wanajisifia kwa samata Ila yanga wakisifia kwa nonda ni kosa
Simba walimuuza Sammata Mazembe pia walipata mgao baada ya Mazembe kumuuza Sammata ubelgiji kutokana na kipengele kilichowekwa baada ya kumuuza Sammata Kwa Mazembe
 
Back
Top Bottom