Ni ofa gani kutoka nje Yanga alishaikubali? Sisi ndio timu inaongoza kubania wachezaji nchini?

Waliwahi kumficha Ngasa ili El mereikh wasimsajili. Waliwahi kumrudisha Tegeta kutoka Sweden ili kuwahi derby. Uto ni wa hovyo.
 
Simon Msuva kwenda Diffah El jadid
Tuisila kisinda kwenda rs berkane
Heriter Makambo Horoya fc
Mrisho Ngasa aliruhusiwa kwenda west ham, waarabu walimtaka akazima simu mwenyewe wala hakuzuiwa
Kolo wahedi bin Ngada
Niambie malipo mliyopata kwa kuuza wachezaji hao uliotaja.
Ukinitajia niko palee niite mbwa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Sisi Yanga huwa tunapewa wachezaji wa mkopo, sasa mnataka tukubali vipi ofa wakati wachezaji wana timu zao?
 
Aliuzwa na Singida United? Yanga walipopata gawio la mauzo ilikuwa ni sababu ya udalali?
Nitajie kiasi alichopata yanga baada ya kumuuza. Nonda aliwahi kuchezea yanga baadae akaondoka kivyakevyake akaibukia Africa kusini Kwa hiyo alipoenda Africa kusini sio Kwa sababu aliuzwa na yanga na kama unabisha elezea aliuzwa shilingi ngapi?
 
Tafuteni wa kwenu na sio kukurupukia kutaka wachezaji yanga.chukueni george mpole,anazulula tu mtaani
 
Makolo tunajua mnapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia kipindi hiki,kuweni makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…