Ni official Raila ajiunga na Ruto na kuwaacha wakenya bila kuamini kwenye kile unachoweza kuita handshake nyingine

Siasa za Kenya ni nzuri kwani ni huru na za, restrictions ni ndogo kuliko siasa za Tanzania
Tanzania hakuna restriction tatizo ni vyama vya upinzani tz vimepoteza mwelekeo na kusababisha ccm kupata mwanya ....kosa la upinzani tz ni ujinga wa kutokutambua thamani ya rais mzalendo kama jpm badala ya kushirikiana naye maana jpm alikuwa ni tofauti na huyu mpuuzi wa ngazija, Jpm alikuwa tayari kushirikiana na yoyote anaye unga mkono siasa za kizalendo...maana ndiyo siasa zenye kujali watu .. samia hata ukimpamba awezi kuwa shirikisha wapinzani ushahidi ni makubaliano waliyo fikiana na upinzani ...samia kayakanyaga wazi wazi .
 
Walikuwa hawampendi Magufuli ni wale ambao kwenye familia zao walikuwemo watumishi hewa (waliotumbuliwa) pamoja na viongozi wa upinzani.
 
wakenya kwenye media Utawasikia "We ruto k***** nyoooooooooko " wanavoingia
 
Siasa ni utapeli, kushabikia mwanasiasa yoyote au chama chochote cha siasa ni upunguani uliokithiri.
Siasa siyo utapeli bali siasa ndiyo maisha yako na ya kila mtu. Wanaofanya siasa ndiyo matapeli na jukumu la kila mmoja wetu kuwafahamu na kuwachuja kwa kura. Ukisema hutaki siasa maana yake ni kukubali kushindwa na kuachia matapeli maisha yako.
 
Wakenya mnaputia shida kubwa licha ya katiba yenu mpya ...kuna kitu kitafuteni kwa nguvu zenu zote nacho ni katiba itakayo zuia WANASIASA KUWA WAPIGA KURA mkifanya hivyo mtakuja kunishukuru
Katiba itakayo zuia wanasiasa kuwa wapiga kura 🙄 !
Hii imekaa vizuri sana maana wanasiasa ni sawa sawa na klabu za Simba au Yanga wanachama wao kila siku wanataka timu yao ishinde tu kwa namna yeyote bila kujali wao wanachama wanapata ahueni gani katika maisha yao baada ya huo ushindi 😳 !

😂😂🤣🤣 !
 
K
Siasa siyo utapeli bali siasa ndiyo maisha yako na ya kila mtu. Wanaofanya siasa ndiyo matapeli na jukumu la kila mmoja wetu kuwafahamu na kuwachuja kwa kura. Ukisema hutaki siasa maana yake ni kukubali kushindwa na kuachia matapeli maisha yako.
Kuwachuja kwa kura hao wanasiasa unavyo sema ndiko penye huo Utapeli wenyewe !
Sasa tunafanyaje ilihali wengine wenye nguvu wameshika kwenye mpini na wengine japo wapo wengi lakini wameshika upande wenye makali ???!

Hapo kukitokea purukushani kidogo walioshika kwenye makali vidole vyote vinakwenda !
Je huo mchujo umekuwa ukifanyika kwa haki kama wanavyotaka wenye kuchuja bila Uwezekano wa kutokea purukushani ??!
 
Na kumbuka: hakuna kizuri bila jasho. Nchi zilizoendelea viongozi wao hawakudondoka mbinguni. Ni wananchi walipigana mpaka wakabadilika. Na sisi bila kufanya hivyo ni bure.
 
Back
Top Bottom