Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
- Thread starter
-
- #21
Mwanangu acha uzwazwa. Kwani lazima kila mmoja awe mwenyekiti wa kijiji au mwanasiasa hata sisi wataaluma nyambaff?We umeshawahi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa? Hujui maana ya uongozi
Tanzania hakuna restriction tatizo ni vyama vya upinzani tz vimepoteza mwelekeo na kusababisha ccm kupata mwanya ....kosa la upinzani tz ni ujinga wa kutokutambua thamani ya rais mzalendo kama jpm badala ya kushirikiana naye maana jpm alikuwa ni tofauti na huyu mpuuzi wa ngazija, Jpm alikuwa tayari kushirikiana na yoyote anaye unga mkono siasa za kizalendo...maana ndiyo siasa zenye kujali watu .. samia hata ukimpamba awezi kuwa shirikisha wapinzani ushahidi ni makubaliano waliyo fikiana na upinzani ...samia kayakanyaga wazi wazi .Siasa za Kenya ni nzuri kwani ni huru na za, restrictions ni ndogo kuliko siasa za Tanzania
Walikuwa hawampendi Magufuli ni wale ambao kwenye familia zao walikuwemo watumishi hewa (waliotumbuliwa) pamoja na viongozi wa upinzani.Tanzania hakuna restriction tatizo ni vyama vya upinzani tz vimepoteza mwelekeo na kusababisha ccm kupata mwanya ....kosa la upinzani tz ni ujinga wa kutokutambua thamani ya rais mzalendo kama jpm badala ya kushirikiana naye maana jpm alikuwa ni tofauti na huyu mpuuzi wa ngazija, Jpm alikuwa tayari kushirikiana na yoyote anaye unga mkono siasa za kizalendo...maana ndiyo siasa zenye kujali watu .. samia hata ukimpamba awezi kuwa shirikisha wapinzani ushahidi ni makubaliano waliyo fikiana na upinzani ...samia kayakanyaga wazi wazi .
Siasa siyo utapeli bali siasa ndiyo maisha yako na ya kila mtu. Wanaofanya siasa ndiyo matapeli na jukumu la kila mmoja wetu kuwafahamu na kuwachuja kwa kura. Ukisema hutaki siasa maana yake ni kukubali kushindwa na kuachia matapeli maisha yako.Siasa ni utapeli, kushabikia mwanasiasa yoyote au chama chochote cha siasa ni upunguani uliokithiri.
Katiba itakayo zuia wanasiasa kuwa wapiga kura π !Wakenya mnaputia shida kubwa licha ya katiba yenu mpya ...kuna kitu kitafuteni kwa nguvu zenu zote nacho ni katiba itakayo zuia WANASIASA KUWA WAPIGA KURA mkifanya hivyo mtakuja kunishukuru
Kuwachuja kwa kura hao wanasiasa unavyo sema ndiko penye huo Utapeli wenyewe !Siasa siyo utapeli bali siasa ndiyo maisha yako na ya kila mtu. Wanaofanya siasa ndiyo matapeli na jukumu la kila mmoja wetu kuwafahamu na kuwachuja kwa kura. Ukisema hutaki siasa maana yake ni kukubali kushindwa na kuachia matapeli maisha yako.
Na kumbuka: hakuna kizuri bila jasho. Nchi zilizoendelea viongozi wao hawakudondoka mbinguni. Ni wananchi walipigana mpaka wakabadilika. Na sisi bila kufanya hivyo ni bure.K
Kuwachuja kwa kura hao wanasiasa unavyo sema ndiko penye huo Utapeli wenyewe !
Sasa tunafanyaje ilihali wengine wenye nguvu wameshika kwenye mpini na wengine japo wapo wengi lakini wameshika upande wenye makali ???!
Hapo kukitokea purukushani kidogo walioshika kwenye makali vidole vyote vinakwenda !
Je huo mchujo umekuwa ukifanyika kwa haki kama wanavyotaka wenye kuchuja bila Uwezekano wa kutokea purukushani ??!
Hiiiii ! Kwakweli hakuna namna ,Na kumbuka: hakuna kizuri bila jasho. Nchi zilizoendelea viongozi wao hawakudondoka mbinguni. Ni wananchi walipigana mpaka wakabadilika. Na sisi bila kufanya hivyo ni bure.