hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 1,029
- 2,243
Jaribu lobby Linked in, couch surfingNdugu zangu heri ya mwaka,
Leo nina ombi moja, maana najua humu kuna watu wanajua mambo mengi na wana exposure kubwa za kimataifa.
Naomba kwa mwenye idea anisaidie, je ni online platform gani ambayo nikiwekeza muda na hata pesa (kama ni ya kulipia) naweza kupata wawekezaji katika sekta mbalimbali? Kama vile elimu, ardhi, viwanda, biashara NK.
Karibu kwa maoni
Asante mkuu barikiwa sanaJaribu lobby Linked in, couch surfing
Asante sana mkuu barikiwa sana🙏
Na Fanya applications za kuomba grants mbali mbali,kushiriki pitching competition ndoto ndogo zitaku lead kushiriki za nje na hata kuku kutanisha na VC