Ni Perfume gani nzuri for men ambayo haizidi shilingi elfu 70

Barcode nyeupe 30k sema unanukia kama mti wa malimao 😃,Ramza latada 25k unanukia kama marashi ya Zanzibar 😃Asad nyeusi 35k,Strong with 35k mtoa mada kopa songesha Elfu 5 uongezee acha ujinga 😅nunua hii kitu inaitwa Liquid burn 🔥 75k unanukia hadi kwenye soli ya kiatu
 
Hiyo bar code ni unayosema sema ni ipi 😂😂 . Mm ndio perfume yangu pendwa hiyo unanikiaje kama mti tena
ni shilingi ngapi
30 mpk 35
 
Back
Top Bottom