Ni Perfume gani nzuri for men ambayo haizidi shilingi elfu 70

Barcode nyeupe 30k sema unanukia kama mti wa malimao ๐Ÿ˜ƒ,Ramza latada 25k unanukia kama marashi ya Zanzibar ๐Ÿ˜ƒAsad nyeusi 35k,Strong with 35k mtoa mada kopa songesha Elfu 5 uongezee acha ujinga ๐Ÿ˜…nunua hii kitu inaitwa Liquid burn ๐Ÿ”ฅ 75k unanukia hadi kwenye soli ya kiatu
 
Hiyo bar code ni unayosema sema ni ipi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ . Mm ndio perfume yangu pendwa hiyo unanikiaje kama mti tena
ni shilingi ngapi
30 mpk 35
 
mtoa mada kopa songesha Elfu 5 uongezee acha ujinga ๐Ÿ˜…nunua hii kitu inaitwa Liquid burn ๐Ÿ”ฅ 75k unanukia hadi kwenye soli ya kiatu
๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ