Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana zkwc1000 = tshs260,000 sasa hapa ipi yenye thamani?Kwacha ya malawi ina nguvu kuliko Tsh,,
ila kwacha ya zambia compate na yetu yetu ina nguvu!
Ukiwa na 260,000 Tsh ni 1000 Kwacha yaan MILLION MOJA YA ZAMBIA wengi wanashindwa kujua sababu wanaangalia idadi ya masifuri..
Soma vizur mbon jamaaa kaelez vizurUna maana zkwc1000 = tshs260,000 sasa hapa ipi yenye thamani?
Tumia smart phone yako kujifunza, embu google thamani ya kwacha vs usd alafu ufanye hivyo kwa tsh, then uje u edit bandiko lakoKwacha ya malawi ina nguvu kuliko Tsh,,
ila kwacha ya zambia compate na yetu yetu ina nguvu!
Ukiwa na 260,000 Tsh ni 1000 Kwacha yaan MILLION MOJA YA ZAMBIA wengi wanashindwa kujua sababu wanaangalia idadi ya masifuri..
Huu uvivu me nisingekujibu...kuna many site ya kuangalia Currency...i say again huu ni UVIVUKama kichwa kinavyojieleza. Naombeni kujua ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania?
Nitashukuru kwa msaada wenu
Tatizo mnakoment kishabikiSoma vizur mbon jamaaa kaelez vizur
Kwacha 1 ZMW = 174.525 TZSKama kichwa kinavyojieleza. Naombeni kujua ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania?
Nitashukuru kwa msaada wenu
Ukiwa na milioni moja ya kwacha ni sawa tzs 172000 rate ni 1tzs=0.172 ZM nipo mpakani kabisa hapa hizo kwacha nimezizoea sana hesabu zakeTatizo mnakoment kishabiki
1TZS = 0.00572985ZMW
1 ZMW = 174.525 TZS
1 TZS = 0.00572985 ZMW
Kwacha 1 ZMW = 174.525 TZS
Hela ya Zambia ipo juu
Kwa maana hii ukiwa na elf 10 ya Zambia
10,000×174.525 = 1,745,250
Exchange rate ya Kwatcha ya Zambia na Tsh inawatoa jasho wasomi wengi wa Tanzania...ukiwapa interview hupati mfanyakazi woote wanakwambia hela ya Zambia ipo juu..wamefuta masifuri tuu ila hela ni ile ile yaani unatoa shilingi chache unapata Kwatcha nyingi...Uko wapi nikuletee elf kumi ya zambia unipe laki moja tuh ya tanzania mkuu
Thanks nadhani umeondoa ubishi.Ukiwa na milioni moja ya kwacha ni sawa tzs 172000 rate ni 1tzs=0.172 ZM nipo mpakani kabisa hapa hizo kwacha nimezizoea sana hesabu zake
Kwacha ya malawi ina nguvu kuliko Tsh,,
ila kwacha ya zambia compate na yetu yetu ina nguvu!
Ukiwa na 260,000 Tsh ni 1000 Kwacha yaan MILLION MOJA YA ZAMBIA wengi wanashindwa kujua sababu wanaangalia idadi ya masifuri..