Ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania.

Aputwike

Senior Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
172
Reaction score
189
Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni kujua ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania?

Nitashukuru kwa msaada wenu
 
[emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]ngoja praise team waje ..
Hatuna hela apa
 
Kwacha ya malawi ina nguvu kuliko Tsh,,
ila kwacha ya zambia compate na yetu yetu ina nguvu!
Ukiwa na 260,000 Tsh ni 1000 Kwacha yaan MILLION MOJA YA ZAMBIA wengi wanashindwa kujua sababu wanaangalia idadi ya masifuri..
 
Una maana zkwc1000 = tshs260,000 sasa hapa ipi yenye thamani?
 
Kwacha ya malawi ina nguvu kuliko Tsh,,
ila kwacha ya zambia compate na yetu yetu ina nguvu!
Ukiwa na 260,000 Tsh ni 1000 Kwacha yaan MILLION MOJA YA ZAMBIA wengi wanashindwa kujua sababu wanaangalia idadi ya masifuri..
Tumia smart phone yako kujifunza, embu google thamani ya kwacha vs usd alafu ufanye hivyo kwa tsh, then uje u edit bandiko lako
 
Kama kichwa kinavyojieleza. Naombeni kujua ni pesa ipi inathamani kati ya Kwacha ya Zambia na Shilingi ya Tanzania?

Nitashukuru kwa msaada wenu
Huu uvivu me nisingekujibu...kuna many site ya kuangalia Currency...i say again huu ni UVIVU
 
Kwacha 1 ZMW = 174.525 TZS

Hela ya Zambia ipo juu
Kwa maana hii ukiwa na elf 10 ya Zambia
10,000×174.525 = 1,745,250
 
Tatizo mnakoment kishabiki

1TZS = 0.00572985ZMW
1 ZMW = 174.525 TZS

1 TZS = 0.00572985 ZMW
Ukiwa na milioni moja ya kwacha ni sawa tzs 172000 rate ni 1tzs=0.172 ZM nipo mpakani kabisa hapa hizo kwacha nimezizoea sana hesabu zake
 
Uko wapi nikuletee elf kumi ya zambia unipe laki moja tuh ya tanzania mkuu
Exchange rate ya Kwatcha ya Zambia na Tsh inawatoa jasho wasomi wengi wa Tanzania...ukiwapa interview hupati mfanyakazi woote wanakwambia hela ya Zambia ipo juu..wamefuta masifuri tuu ila hela ni ile ile yaani unatoa shilingi chache unapata Kwatcha nyingi...
 
Asante kwa ufafanuzi mkuu, na hapa ndipo ilipokuwa inanichanganya.
Kwacha ya malawi ina nguvu kuliko Tsh,,
ila kwacha ya zambia compate na yetu yetu ina nguvu!
Ukiwa na 260,000 Tsh ni 1000 Kwacha yaan MILLION MOJA YA ZAMBIA wengi wanashindwa kujua sababu wanaangalia idadi ya masifuri..
 
Sawa mkuu, unafikiri kwanini sija google nikaomba msaada hapa. Haya basi wewe uliyetupitia hizo site naomba nisaidie jibu basi

Back
Top Bottom