Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Polisi wakitaja ongezeko la uhalifu,wanatoa takwimu. Mpaka sasa polisi hawajafanya hivyo. Kwa vile zimetokea spectacular murders, watu wameingia wasiwasi.
Na huyu rais always anatafuta nafasi ya kuwaweka wanawake kwenye uongozi.
Kamanda Sirro anaweza kushughulikia haya matatizo. Watu kuuana siyo shida yake. Yeye aulizwe tu kwa nini hajawakamata wahalifu. Uhalifu utapungua.
Inahitaji ushirikiano wa men of the cloth. Men of the Cloth. As the different types of crime are analyzed [by the Men of the Cloth], hiyo ndiyo precisely mwarobaini wa kuondoa uovu, na hiyo ni kazi ya watu wa dini.
Lakini umesikia Putin alivyosema jana. Baada ya US Africa Commander Townsend kuuliza kwa nini coup detat zimezidi siku hizi Africa, bila shaka ni bad governance na corruption.
Putin akamjibu Waafrika wamechoshwa na serikali za vibaraka zinazoiba utajiri wao na kuwapa wageni. Kwa hiyo zinatokea hizi coup nyingi siku hizi.