LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
From Zanzibar to Dar kwa ajili ya tungi tu! Dear Gambe!Hahahaha zenji had dar kisa pombe dah[emoji38][emoji38]!nakuwazia sipati picha...mm pombe kwasasa big no nainywa kwa nadra mnoo....nataman niache tu nitafte starehe nyingine! Nataman kuwa na mziki mziiito kwa[emoji594] walau niwe nakula vibes tu
Nakunywaga wastani saana na isitoshe ndio starehe yangu kubwa.