Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Hahahaha zenji had dar kisa pombe dah[emoji38][emoji38]!nakuwazia sipati picha...mm pombe kwasasa big no nainywa kwa nadra mnoo....nataman niache tu nitafte starehe nyingine! Nataman kuwa na mziki mziiito kwa[emoji594] walau niwe nakula vibes tu
From Zanzibar to Dar kwa ajili ya tungi tu! Dear Gambe!
Nakunywaga wastani saana na isitoshe ndio starehe yangu kubwa.
 
Mimi sitaisahau hii John Pombe Joseph Magufuli
 
Haha. Nahisi huyo demu alicheka sana matukio yako.hasa hiyo ya kupiga kelele kama mbuzi
 
Desperados tamu ila sizidishi 4

Serengeti lite mwisho ziwe 2, afu iwe ya baridi. Ya moto chungu sana then inaumiza tumbo yale mapovu
 
Desperados tamu ila sizidishi 4

Serengeti lite mwisho ziwe 2, afu iwe ya baridi. Ya moto chungu sana then inaumiza tumbo yale mapovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dompo mix na ice weuweeee 🔥🔥🔥 ule utamu si mchezo. Ila isikuzidie tu
 
Mara nyingine utarudisha chenji kama umekula pilao na vyakula vilivyokaangwa na mafuta mengi. Ili usirudishe chenji wakati mwingine kula mchemsho wa ndizi aù supu nyeupe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…