Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

MALAIKA. Sijui kiko wapi hiki kinywaji nilikunywa mwaka 1999
 
Nilikunywaga kiroba cha tyson ww nilijuta nilikuwa naisi kufakufa kitanda kilikuwa kinazunguka tangu siku hyo. Ditaki mazoea na pombe kabisaa
 
Pombe ina kichwa chake.

Binafsi nimeshakunywa pombe kali zote, nashukuru sijawah dharirika.

Ingawa kuna muda unaona kbs hapa mambo yashakuwa mengi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…