Ni prof lipumba pekee mwenye uwezo wakufufua uchumi wa taifa la tanzania

NDUMBA WA NDUMBA

New Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Ni vizuri kila mgonjwa sugu atibiwe na daktari bingwa wa ugonjwa huo ndio maana unaona watu wengi wenye uwezo wakifetha ikiwemo viongoziwetu waandamizi wa vyama na serikali hukimbilia ughaibuni kuwafuata wataalam waliobobea kwenye marathi yanayo wasibu ilikuokoa maisha yao.

Ni vivohivyo kwa nchi yetu inasumbuliwa na saratani ya uchumi na Daktari alio bobea kwenye uchumi hakuna hapa nchini kwetu zaidi ya PROF IBRAHIM LIPUMBA sijui kwanini hatuelewi.

Nikiwa kama mwanachi wataifa hili nikimuona mtu anahoji uwezo wa mzalendo huyu naona anachelewesha maendelo yake yeye mwenyewe kwani hatahao wano tupa misaada uchumi wao ulipo tetereka haraka walijisalimisha kwake hawakuangalia anatoka katika upande gani wa dunia wala upande gani wa taifa analotoka nawashanga sana wannchi wano jiaaminisha kwamba kiongozi mzuri wa Taifa letu lazima atoke kanda ya kaskazini.

Mwisho napenda kuwakumbusha kwamba hii ni nchi yetu sote hivyo mwananchi yeyote mwenye uwezo wakutatua matatizo yetu aungwe mkono bila kujali dini,kdbila,itikadi,na ukanda anaotoka. MUNGU IBARIKI TANZANIA NATOA HOJA.
 
So unataka nini kifanyike maaana umemsifia tu na kutoa uzoefu wake.......
 
Mbona sasa miaka nenda rudi anagombea hapiti na ndani ya chama chake atuoni jitihada zozote za yeye kutaka nchi?
 
Hatutaki Mchumi, tunataka mtu atakayerudisha uadilifu kwa Taifa la Tanzania/Tanganyika, uchumi utakuwa kukiwa na uadilifu!
 
anafanya nini cuf? si akaokoe jahazi?
 
Kama ana sifa hizo basi inayomuhitaji zaidi ni BAKWATA na sio Tanzania.

Unaonaje hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…