Ni Proffessor, Dr,au msope yupi ameweza kufanya haya...

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,039
Reaction score
4,889
Ni proffessor, Dr, au msomi yupi wa kiTanzania, ambaye .....
1. Ana Patent ya ugunduzi wowote ule, uwe wa kisayansi, au nyanja nyingine yeyote. Tafadhali taja na aina ya ugunduzi.
2.Ameweze ku commercialize utafiti wake na kuanzia biashara kubwa kutokana na utafiti/ugunduzi huo.
3. Amebadilisha maisha ya watu in a good way (Positive impact) duniani au hata Tanzania kutokana na utafiti wake.

Maswali haya ni muhimu ili kujua mchango wa wasomi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu.
 
Sijawahi msikia ila nachojua ni kwamba wanafanya academic research..tu ambazo hua zinaoshia library za vitivo vyao
 
Duh...Ngugu yangu hoja yako ni mwiba wa koo maana nijuavyo mimi maprofesa wengi wa Bongo wamesomea History na Uchumi,sasa hapo kwenye ugunduzi hapo......mmh.
 
Ni proffessor, Dr, au msomi yupi wa kiTanzania, ambaye .....
3. Amebadilisha maisha ya watu in a good way (Positive impact) duniani au hata Tanzania kutokana na utafiti wake.

Utafiti unajumuisha ugunduzi unaopelekea kitu kipya kabisa au mabadiliko yanayowezesha kutumiwa teknolojia iliyopo ikiwa imeboreshwa mfumo uendane na hali ya mazingira n.k.
Wataalamu wetu wamefanya mengi mno lakini kikwazo kipo kwenye sehemu mbili kuu, mfumo wa soko la nchi, na bajeti ya nchi.
Mfumo wa soko haukuruhusu hati miliki, na usambazaji wa teknolojia.
Bajeti yetu kidogo sana inaelekezwa kwenye tafiti.
Katumani ~ mbegu ya mahindi. ~ mtafiti Ilonga. ~ wanufaikaji wakulima na walaji wa miji/nchi zenye hali ya hewa inayokaribiana na dar.
Kilimo ndio wizara pekee iliyosheheni wasomi na iliyokua na bajeti angalau kwenye utafiti. Tafiti zilikuwepo zakutosha kuwezesha mapinduzi ya kijani wakati wa Nyerere.
 
Wasomi na wataalamu wetu wengi wamekatishwa tamaa na mfumo usiothamini kazi na michango yao kwa kuendekeza
10%. Rejea sakata la kusikitisha la hayati Dr. Ferdinand Masao.
 
Ni proffessor, Dr, au msomi yupi wa kiTanzania, ambaye .....
1. Ana Patent ya ugunduzi wowote ule, uwe wa kisayansi, au nyanja nyingine yeyote. Tafadhali taja na aina ya ugunduzi.
2.Ameweze ku commercialize utafiti wake na kuanzia biashara kubwa kutokana na utafiti/ugunduzi huo.
3. Amebadilisha maisha ya watu in a good way (Positive impact) duniani au hata Tanzania kutokana na utafiti wake.

Maswali haya ni muhimu ili kujua mchango wa wasomi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu.

usomi siyo haya tu mkuu, siyo lazima fani zote zitoe hivyo ulivyotaja, kuna suala la ku-add knowledge kwenye jamii ambalo wanalifanya kwa kiwango kikubwa
 
Ni proffessor, Dr, au msomi yupi wa kiTanzania, ambaye .....
1. Ana Patent ya ugunduzi wowote ule, uwe wa kisayansi, au nyanja nyingine yeyote. Tafadhali taja na aina ya ugunduzi.
2.Ameweze ku commercialize utafiti wake na kuanzia biashara kubwa kutokana na utafiti/ugunduzi huo.
3. Amebadilisha maisha ya watu in a good way (Positive impact) duniani au hata Tanzania kutokana na utafiti wake.

Maswali haya ni muhimu ili kujua mchango wa wasomi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu.

Shukran kwa swali lako zuri sana, nadhani hata wewe hadi kuuliza ni lazima ni mmoja wao kwa kiwango fulani, nitatafuta muda wa kuchangia kwa kina ngoja nitafakari
 
Kama hao “wasomi” ni mfano wa kina dr bana na mukandala unategemea nini..
 
Back
Top Bottom