Wakuu mambo vipi?
Naomba ushauri wenu kuhusu jambo lifuatalo:-
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu (Bachelor of Environmental Disaster Management - UDOM) nilikua naitaji kwenda kusoma Master ningeomba mnipe uzoefu, ni program gani nzuri yenye tija na ipo chuo kipi ninayoweza kwenda kusoma, pia mimi ni Muajiriwa (serikalini).
Lengo ni kupata promotion itakayoongeza kipato. Asanteni naomba kuwasilisha.