nilshndwa kumwelewa. Ila now ndo nimeelewa kumbe alikuwa analeta poz mtoto.
Asha hivi inawezekana kweli wewe haujui unachotakap?
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.
Maskini naona anajuta saa hizi, ningejua ninge... kibao, inanikumbusha movie ya My bestfriend wedding
Ahaa ahaa Plutonic FriendshipSometimes inaweza tokea hasa hizi relationship zinazoanzia in the name of plutonic friendships.
Nyumba Kubwa yamekukuta yapi tena?Wajameni mbona page za JF zimekuwa hazina mvuto wala wepesi wa kutumia?
Nyumba Kubwa yamekukuta yapi tena?
Habar zenu great thinkers wote? Mimi ni kijana mfanya biashara, niliwah kupata rafik wa kike katika biashara zetu na ilitokea tukawa karibu zaidi kitu ambacho kilisababisha niwe na hisia za kimapenzi naye. Nilitokea kupenda awe mchumba wangu ili baadaye tufunge ndoa ila nilipo mueleza mwenzangu akasema yeye hayuko tayar kuwa na mahusiano nami hvyo haitawezekana.. Niliumia sana mwisho wa siku ilinibid niyaheshmu maamuz yake na ndipo nilipochukua ustaarabu wa kutafuta mchumba mwngne ambaye ndo natarajia kufunga naye ndoa.. Tangu nilipopata mchumba huyo yule rafiki yangu wa kike alianza kumchukia na kuanza kuwa na wivu. Na hata kwenye sherehe ya kumvisha pete huyu laaziz wangu mpya ye hakutokea bila sababu ya msingi.. Yani ananiweka kwenye wakat mgumu kwan amekuwa akimchunia na hata kuonesha chuki ya wazi kabisa... Naombeni msaada wenu waungwana. Ninateseka sana.
nguruwe pita leo sina mkuki. huyo alikuwa na kisebusebu na kiroho papo, ENDELEA NA HUYO WA PILI HUYO WA KWANZA NI MSUMBUFU.
Amini usiamini Mkoloni huyo dada akujua wewe una umuhimu to what extent, alikuchulia kawaida saaana sasa bahati mbaya kagundua ni kinyume. I feel for her (ila sina maana kua mhalalishe), kikubwa kaa nae chini mresolve hi issue, itawasumbua sana.
Mkoloni,angalia hapo kwenye red,kisebusebu na kiroho papo,wewe bado una hisia na huyo unayemwita 'business partner' wako, vinginevyo usingeteseka.Nakushauri uhairishe harusi ili bongo yako uiweke sawa kwanza na kuwa na uhakika nini unataka maishani mwako,vinginevyo utaishia kuumiza nafsi yako na ya wenza wako.
huyu wa kwanza ni rafik katika biashara, nksema nimpotezee kikatil inaweza kuharibu biashara zangu.
Kaka bado haujachelewa. Kama bado wampenda huyo sitaki nataka, vunja uchumba na huyo nataka nataka. Maana ninachoona hapo isije ikawa unaoa huku roho iko kwa sitaki nataka, bi arusi mtarajiwa asije anza maisha ya ndoa kwa kuchangia. Maana tunakubali cheating zipo lakini at least a girl needs a faithful husband for the first 5 years.
Tafuta business partner mwingine kama vipi fanya biashara alone. Huyo dada mnakoelekea atakuja kukubaka utaja tuambia humu humu. Si alikukataa, utashangaa anaomba kuwa kimada. Nina mifano kama wako.
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.
Du. Kama kumpotezea ni ngumu sijuhi tukusaidieje. Embu tueleze ukweli toka rohoni ili tuweze kuchangia mawazo. This issue is very serious. Kwa sasa regardless umemchumbia mtu, unampenda nani? Na hiyo biashara ni kweli ni equal partners au 'sitaki nataka' anaku finance?
Siwezi kujua ugumu wa kufanya biashara bila huyo 'partner' ila chunguza sana tatizo laweza kuwa si biashara ila roho yako haiko kwa huyo wife to be. Huu ni muda wa kutafakari na kuchukua hatua kabla hujaingia kwenye ndoa. Kwani ukishaoa ndugu talaka ni ngumu. Bora umwache dada wa watu usione vibaya kwani atapata mwenza mwingine kama roho yako iko kwa 'sitaki nataka'.