Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Vyema mkuu...nakumbuka kipindi nikiwa mvulana nilipata kua na rafiki binti whom nadhani kwa ajili ya ukaribu wetu nilienda too far lakini akasema hapana...nikachukia sana...nikaamua kuachana nae na kuelekeza kichwa changu kwenye elimu nikidhani namkomoa...hakunichukia...kwa kweli leo hii yeye ni mmoja kati ya watu waliochangia kujenga personality yangu kwa kua by the time km angekubaliana nami si mimi wala yeye agekua alipo sasa!
Nachokuaminisha hapa ni kua mapenzi yapo na yanapita ila maisha kwanza...ukifanya maamuzi sahihi utapata two in one!
Well km ndivyo basi nikuhakikishie huyu mwanadada ndo alitakiwa kua mkeo...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida huyu binti asingekua na msimamo mngeishia kupotezeana muda tu kitandani na mwishowe hata biashara ingekufa lakini kwa kuonesha ujasiri alikuambia hapana..na bado mkaendelea kufanya biashara pamoja! Sipo moyoni mwako ila nikuhakikishie ulilofanya sasa la kuvisha sijui pete ni kumkomoa mwenzako na for sure utaregreat muda si mrefu! Nikutakie tu ndoa njema ila una muda wa kutafakari
ndo nipo kwenye mchakato wa kushuriana na baadh ya ndugu kuhusu hl swala la kuahrisha haruc.. Kinachoniuma zaid ni ile pete ya uchumba nlo mvisha huyu bnt mtarajiwa wangu...
naumia jinsi anavyonifanyia na pia namuonea huruma huyu bi mdada mwingine anavyoteseka......
We kaka unapatikana wapi aisee!!!
Siku nyingi sijaongea na watu wenye upeo wa kufikiri kimtego mtego kama wako.
Yani mkoloni, anataka kutema bigijiiii kwa karanga za kuonjeshwa..............
Ha ha ha ha.............Mwanamke mpenda maendeleo hatangulizi mapenzi kwenye ishu za maendeleo Mkoloni wangu.
Njooo hapa Rombo nikupe kata ya mbege huku tukiongea vizuri, kielewekee.
Samahani sana Mkoloni,
Naweka mistari miwili tena mikubwa (conclusion) kwamba una matatizo makubwa ingawa hujijui. Unahitaji kumwona mtaalamu wa saikolojia haraka sana!! Huwezi kuongea maneno kama hayo halafu ukadai uko fit 100%.....No please my dear!
Vunja ndoa hiyo usifaye kubahatisha kwwenye hilo tanzi la maisha, maana kama hujampenda hata akikukosea kidogo huwezi kumvumilianaumia jinsi anavyonifanyia na pia namuonea huruma huyu bi mdada mwingine anavyoteseka......
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.