Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Duu !! Kumbe Mh. Membe kawa tishio kwenye chama chetu kiasi kwamba yatulazimu tutumie nguvu kubwa kwa namna hii.
HUONI MUSIBA ALIVYOKUWA ANAMSHAMBULIA MTU AMBAYE HAONGEI WALA HAJAWAHI ITISHA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHI!!
 
Duu !! Kumbe Mh. Membe kawa tishio kwenye chama chetu kiasi kwamba yatulazimu tutumie nguvu kubwa kwa namna hii.

Team Membe Plus network ya JK na wanaoendelea kuumizwa na mfumo wa sasa hata kama hawakuwa Team Membe......
Wote wako tayari kukusanya nguvu kuwa against JPM.....
Sasa hapo ni pazito, ikabidi tu JPM aanze kujifunza siasa hata kama azitaki.....
Unapinga ufisadi...Then unawapa nguvu tena akina Rostam wakati walikuwa blacklisted tayari....
Hiyo ndiyoo siasa ya bongo....
 
Siasa na matajiri ni mapacha, ukijifanya unapenda sana wanyonge kuliko ma don lazima uangukie pua. muda wa kina Bashite umekwisha ni muda wa watu wazito wenye akili zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa na matajiri ni mapacha, ukijifanya unapenda sana wanyonge kuliko ma don lazima uangukie pua. muda wa kina Bashite umekwisha ni muda wa watu wazito wenye akili zao.

Uko sahihi..
Naona sasa JPM anaanza kuuvaa Urais......
Huenda sasa akaacha na ukatili wake.....
 
Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Mbaya zaid walimrekodi
 
Dr Azaveli Lwaitama ameishawaonya, anasubiri kutekwa tu.
 
Waliomweka magogoni ni kambi ya lowasa...walimpigia kura pale dodoma
Pale ndo Lowassa alipofeli.Ilibidi wapambe wake wampigie kura za kutosha yule Mama wa Zanzibar then ye aende upinzani natumaini kazi isingekuwa ngumu kwa Lowassa.Kumbuka Magu alikuwa anaaminika mno na wananchi 2015 kurudi nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vigumu kwa nchi za Africa kumuondoa aliyeko madarakani....mpak aamue mwenyewe...yanayotokea yanaonesha kuwa yye ndo mkuu wa nchi ana nguvu ya kumuita yyte n kumwamuru atekeleze anayotaka
Heee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…