The fact is: Lowassa na Sumaye kama MaWaziri Wakuu wastaafu, wataendelea kuwa CHADEMA au watarudi kundini kwao kwa zamani. Hawawezi wakafanya kitu tofauti na hayo mawili. Kuna kitu (something very huge) kinaedndelea nyuma ya pazia ambacho wengi hatukijui na wala hatuelewi. Kumbuka mkutano wa viongozi wastaafu siku kadhaa nyuma hapo Nyumba Nyeupe. Huo mkutano haukuwa wa kisiasa bali utakuwa ulikuwa unahusu briefing ya matukio muhimu ndani ya nchi, kuanzia tetemeko la Kagera mpaka MV, no nadhani Mv kipindi hicho ilikuwa bado. Kuna mambo mengi sisi as laymen, hatuyaelewi na watu wa usalama sasa huwa awana press release! Naomba watu wawe wanachukua moja kichwani, wasiwe wanaona siasa tu kila kitu!