Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho maana kipimo cha Akili hapa JF ni hicho ukiona fala kama wewe kaanza kuisengenya ID ya JF huwa tunajua uwezo wake wa Akili umefikia kikomo hana hoja tena, mbona ID yako ni ya kijuha lakini hakuna mtu kahangaika nayo? inaelelekea wewe ni mtindiga toka kolomije lazima utakuwa ni kilaza na mshamba Fulani, simama kwenye hoja za msingi acha ushamba wako, akili zako ni ndogo kama za Boss wako Musiba na Le mutuz, Tambua kuwa ID za JF sio majina yanatokea kwenye ubatizo Msikitini na kanisani ni majina ya kazi ndiyo maana wenye Akili hawana mda na ID yako wala ya yeyote wanajikita kwenye Hoja moja kwa moja.