Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Daah lkn ile ilikua ni mtego sana kwa Lowassa.

I don't know why Mzee Apson alikuja kuzinguana na JK wkt JK alijitahidi sana kumpigania Jimmy kule mbeya ila ndio ikashindikana.

Jimmy hajawahi kua mwanasiasa mkuu
 
membe alikua decoy 2015,kitu ambacho hata mwenyewe hakujua ila hadi walipobaki watano..rejea yule ng'ombe aliyekatwa mkia alivosema wakati wanarejea zizini,kwamba wakiaminishwa ni yule,wakafanya hasira kumpigia mpakwa mafuta bila kujua
Watu wa lowasa Hawakumpigiwa kura yeye, walimpigia yule mama, walimchakachuliwa, ila kweli membe mkwere alimfanya jamaa decoy, sijui kwanini hakuliona hilo au alihaidiwa u pm.
 
Zimbabwe, Afrika Kusini, Gambia, Tunisia, Egypt nk ziko bara ulaya?
Zamani kipindi tukiimba "Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM", sikuelewa kwa usahihi kwa Nini viongozi wengi wa kiafrika na Amerika ya Kusini waliondolewa madarakani kwa mapinduzi ya majeshi. Tuliambiwa na tukaamini hivyo kuwa Ni kwa sababu Mabeberu walituonea wivu kwa ajili ya rasilimali za nchi zetu. Ambacho hatukufahamu Ni juu ya ukatili wa kutisha uliokuwa ukifanywa na watawala hawa dhidi ya wananchi wa nchi zao. Mauaji holela, hila dhidi ya wapinzani, hiana dhidi ya matajiri, kuminya Uhuru wa watu, ulevi wa madaraka vikichagizwa na umaskini uliokithiri miongoni mwa raia,vilikuwa mbolea iliyostawisha mapinduzi na mauaji ya viongozi hasa Africa.
Nilifikiri kuwa Maprofesa wabobezi wa historia na Sheria Kama akina Kabudi na Mwakyembe wangeyafahamu haya na kutoa ushauri nasaha, kumbe nao ni wachumia tumbo tu!!!
 
Rudia tena,
Kikwete alikua imara Membe asifanikiwe?
Nikuambie tu kua kilichotokea 2015 hata JK hakukifurahia, ni vile tu hakua na jinsi ingine.

Mkuu, fanya revisit ya Dodoma usiku wa mkesha wa kukata majina.
 
Ule ulikuwa mpango wa system
kuhakikisha nchi inapata rais asiye mla rushwa. Lowasa ilikuwa lazima apelekwe upinzani ili kuua kabisa. Sasa kazi ilisha isha ni kula bata tu, mbow yupo segerea lupango anahudumia hahahah

Usicheze kabisa na hiyo system a.k.a Kitengo.
 
Waliomweka magogoni ni kambi ya lowasa...walimpigia kura pale dodoma

Ok, Sawasawa ndo maana yule alieko Brussels alionekana yupo serious sana wakati watu wanacheza mchezo wao.

Kwahio akatulizwa!
 
Labda nikuweke sawa uache juwapapatikia hao Tiss, hivi unajuwa kwamba Hans Kitine alikuwa ni DG wa Tiss?

Na je unajuwa ni Benard Membe ndio alimualiminate Hans Kitine kwa scandal ya kufoji risiti za matibabu ya mkewe Canada?

Acheni kuvimbisha watu mabichwa bila sababu yoyote.

Osman Rashid amekuwa DG wa Tiss na tulikuwa tunakula naye ngisi na pweza fukwe za Dar kama raia wengine tu.

Umbea nao ni ulemavu wa Taifa hili, kuonana na wastaafu mbalimbali siyo jambo la ajabu.

Sawasawa, mzee OR nae aliwahi kufanya kazi kwenye moja ya balozi huko ng'ambo kabla ya kupewa shavu na JK enzi za awamu ya nne.
 
KESI YA TUMBILI UNAMPELEKEA NYANII...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani kumsikia tu Membe anatajwa kutaka kuwa rais wetu kunanitia kichefuchefu kwa sababu kumchagua Membe ni sawa na kumrudisha Kikwete madarakani. Membe is useless, anafaa kuwa a diplomat tu.

Usiwe na wasiwasi kunywa maji utue roho.

🙂🙂
 
Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi

Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,

Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts

Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam

Naishia hapa GENTAMYCINE

Kuna mtu mwingine muhimu sana umemsahau hapo, ambae aliitwa kisiwani Guam na akaruhusiwa direct entry kisiwani na jumba jeupe.

Huyu ndo alikuwa ametoa injection ya kiasi fulani hivi kwa EL na CAM kushughulika.

Lakini mtu huyo ambae ana majina yanayoanzia na R na kuishia na A, mpaka kesho anamchukia sana mzee CAM kwa kugeuka mazima alipofka pale Iringa Road huko makao makuu ya nchi.,.

Sasa mzee CAM bosi wa zamani wa BM anafahamu namna ya kucheza na ile joystick ya kuperuzi.
 
mkuu sijaelewa, you meana mwang'onda, EL, membe wakiwa kambi moja wanawez kumng'oa mkuu wa nchi?

ebu achene fiction zenu hizi

How is that possible, ikitokea rais akahaha unavyosema, hawi rais tena, kuna machinery ambayo ina nguvu Zaidi yake, ipi hiyo??

kuthibitisha kuwa hao EL, membe na huyo TISS member hawakuwa na nguvu, walililolitaka mwaka 2015 halikuweza kuwa

so kuna machinery ina nguvu kubwa kuliko hao watatu

sioni swala la JPM kujikomba kwa EL hapo,
Kwa tabia ya binadamu mwenye moyo wa nyama, akiona nguvu za mkinzano (cohesive forces) zinamwelemea, hutafuta egemeo analofikiri Ni dhabiti ili kusimama. Ikiwa mkuu kila akitazama nyuma ya mabega yake anaiona hatari, unafikiri ataiepukaje kama siyo kujenga alliance mpya kwa kutumia zimwi likujualo au lililotambulishwa likiwa na njaa!!!
 
Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.

Lakini hili (kumkaribisha CAM) EL amekubali kwamba likuwa ni kosa la kiufundi "big time".

Pili, EL hawezi kurudi CCM na hiyo amekiri alipoitwa kwa mara ya kwanza pale jumba jeupe.

Nafikiri kinachofanyika ni kwa master kumshughulikia apprentice yaani mwalimu anapoitwa kumdhibiti mwanafunzi fulani mkaidi.
 
Back
Top Bottom