britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #141
Siyo kila anayeambiwa ampeleleze mtu ni kazi yake ya kudumu,We jamaa bana nani anmpa hizo sifa?
Msukuma mnamuogopa nyie msiomjua sio mimi,eti mpelelezi teh teh.
Msukuma alitumwa na nani kupeleleza?Wkt kila siku anajipendekeza kwa JPM na jamaa ana mshit tu.
Kingunge nae ni mpelelezi hahah wkt mpk mzee anakufa haziivi na Magu.
Acha uongo,huchelewi kusema hata Nchimbi na Sofia Simba nao ni wapelelezi hahah.
Aliyemchoma Lowassa kwa Kina chiligati ni kina msukuma na Apson
Alafu mbona watu wengi walikuwa upande wa CCM wakati wa kampeni na wamegeuka?
Alafu kipindi HICHO task ilikuwa kumdeal mamvi, hivo hata Magufuli alikuwa hana direct influence ya kuchunguzwa kwa Lowassa, ni matokeo ya kazi ya pamoja, haijalishi aliyechunguza ni adui wa nani au rafiki wa nani