Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Tetesi: Ni rafiki wa Mpinzani wake aliyeitwa Nyumba nyeupe kuokoa jahazi

Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.

Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Asante kwa ukokotozi murua!
 
Labda mie kipofu wa mambo ya kijasusi. Maana promotion zinazopewa kwa hawa makachero naishia kushangaa tu. Kama mnatuambia mwan'gonda alikuwa kambi ya lowassa, mbona hakufanikisha ashinde uchaguzi? Imebakia historia mara alishinda lakini hakutangazwa. Kwa maoni yangu naona makachero wanapewa nguvu isiyosawili, wakati watanzania wanataka maisha bora. Ukachero una trend kuliko matatizo ya watanzania. Hembu tujaribu kuvua kwanza joho la ujasusi, halafu tuwaangalie uhalisia wao kama wanaweza kutuvusha salama. Ukachero! Ukachero! Ah!
Kwahiyo Mwangonda kwenge Tiss iliyopita chini ya RO alikuwa na influence gani
 
Hao waliotoka juzi na huyu wa sasa wote mwalimu na kubwa Lao ni Apson kwa kua wamepita kwenye mikono yake ...So most probably Mzee Apson Ana mengi zaidi ya hao unaotaka wewe waitwe
Na declare interest,huyo mzee namfahamu ni very smart.

Ambacho sielewi ni ilikuwaje Lowassa akamuamini Mzee Apson kwny kambi yake 2015 mpk akaenda nae Chadema akiwa naw wkt anamjua vzr mkuu?
 
Membe mda siyo mrefu ataanza kuhudhuria clinic Appolo na Singapor.......

Kwa maana he is so stupid that you can do anything to him?

People really dont understand,they think they are so clever and they can do anything to anybody and expect no resistance whatsoever?!!!!

Mzee,it is the game of chance,you come to him expect something too....Either him or you!
 
Ule ulikuwa mpango wa system
kuhakikisha nchi inapata rais asiye mla rushwa. Lowasa ilikuwa lazima apelekwe upinzani ili kuua kabisa. Sasa kazi ilisha isha ni kula bata tu, mbow yupo segerea lupango anahudumia hahahah

Unawapa too much credit dada...

Haipo organized at the highest level namna hiyo unavyosema...never!

Halafu hii general term "system" sijui mnalitumia kwa maana gani hasa?

You shook cause aint no such thing as "system",there are only "interests" ambazo infact ni individualistic greedy na selfishness tupu na ndio maana huwezi kupata holistic 100% output ya efficiency hiyo unaisema!
 
Huyu mwangonda mnamuoverate sana,mtu mwenyewe kishazeeka,mawazo na mbinu zake ni za miaka ya 70,undefinedleo awe tishio kwa generation ya 4G kweli,?undefinedundefinedHebu nipe bilioni moja tu,nikuingize ikulu kwa mbinu zilizotukuka za kisiasa
Jungu kuu halikosi ukoko .... barabara zote anazijua
 
Na declare interest,huyo mzee namfahamu ni very smart.

Ambacho sielewi ni ilikuwaje Lowassa akamuamini Mzee Apson kwny kambi yake 2015 mpk akaenda nae Chadema akiwa naw wkt anamjua vzr mkuu?
Lowassa siyo smart kama sifa mnazompa
Alikuwa kazungukwa na wapelelezi zaid ya 10 wengine walijifanya marafiki wa karibu kama Msukuma, kingunge na Apson,
 
Lowassa siyo smart kama sifa mnazompa
Alikuwa kazungukwa na wapelelezi zaid ya 10 wengine walijifanya marafiki wa karibu kama Msukuma, kingunge na Apson,
We jamaa bana nani anmpa hizo sifa?

Msukuma mnamuogopa nyie msiomjua sio mimi,eti mpelelezi teh teh.

Msukuma alitumwa na nani kupeleleza?Wkt kila siku anajipendekeza kwa JPM na jamaa ana mshit tu.

Kingunge nae ni mpelelezi hahah wkt mpk mzee anakufa haziivi na Magu.

Acha uongo,huchelewi kusema hata Nchimbi na Sofia Simba nao ni wapelelezi hahah.
 
Back
Top Bottom