Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan ni kwamba Membe kaishaaa
Asante kwa ukokotozi murua!Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Akijibu unitag pleaseCCM asili mnasemaje kuhusiana na hili jambo?
Kwahiyo Mwangonda kwenge Tiss iliyopita chini ya RO alikuwa na influence ganiLabda mie kipofu wa mambo ya kijasusi. Maana promotion zinazopewa kwa hawa makachero naishia kushangaa tu. Kama mnatuambia mwan'gonda alikuwa kambi ya lowassa, mbona hakufanikisha ashinde uchaguzi? Imebakia historia mara alishinda lakini hakutangazwa. Kwa maoni yangu naona makachero wanapewa nguvu isiyosawili, wakati watanzania wanataka maisha bora. Ukachero una trend kuliko matatizo ya watanzania. Hembu tujaribu kuvua kwanza joho la ujasusi, halafu tuwaangalie uhalisia wao kama wanaweza kutuvusha salama. Ukachero! Ukachero! Ah!
Magu na wewe,khaa.ujanja wote uoGuam?
Utajuaje kama Magu alikuwa team Edo?
Ha ha haMagu na wewe,khaa.ujanja wote uo
Hana akili kubwa hivyo, rejea kauli yake, kuwa alisukumizwa kwenye urais.........alikuwa anajaribu.
Na declare interest,huyo mzee namfahamu ni very smart.Hao waliotoka juzi na huyu wa sasa wote mwalimu na kubwa Lao ni Apson kwa kua wamepita kwenye mikono yake ...So most probably Mzee Apson Ana mengi zaidi ya hao unaotaka wewe waitwe
Membe mda siyo mrefu ataanza kuhudhuria clinic Appolo na Singapor.......
Membe hana mpango kisiasa, anajisumbua tu na kujidhalilisha. Anaacha kujikalia huko aliko na kunya kwa starehe, anakuja kutunyea hadharani sie.
Ule ulikuwa mpango wa system
kuhakikisha nchi inapata rais asiye mla rushwa. Lowasa ilikuwa lazima apelekwe upinzani ili kuua kabisa. Sasa kazi ilisha isha ni kula bata tu, mbow yupo segerea lupango anahudumia hahahah
Jungu kuu halikosi ukoko .... barabara zote anazijuaHuyu mwangonda mnamuoverate sana,mtu mwenyewe kishazeeka,mawazo na mbinu zake ni za miaka ya 70,undefinedleo awe tishio kwa generation ya 4G kweli,?undefinedundefinedHebu nipe bilioni moja tu,nikuingize ikulu kwa mbinu zilizotukuka za kisiasa
HahaMzee wa Guam anajinasibu ni kiongozi wa wanyonge..alisahau wanyonge hawapigi kura kwenye mkutano mkuu wa Chama anachoongoza..teh teh teh
Lowassa siyo smart kama sifa mnazompaNa declare interest,huyo mzee namfahamu ni very smart.
Ambacho sielewi ni ilikuwaje Lowassa akamuamini Mzee Apson kwny kambi yake 2015 mpk akaenda nae Chadema akiwa naw wkt anamjua vzr mkuu?
We jamaa bana nani anmpa hizo sifa?Lowassa siyo smart kama sifa mnazompa
Alikuwa kazungukwa na wapelelezi zaid ya 10 wengine walijifanya marafiki wa karibu kama Msukuma, kingunge na Apson,
Tulia kwanza uandike vizuriEndeleeni na story hizo, 2015 sio mbali sana Rais atakuwa mwanamke, Ama Mzazibar au Mpinzani. 2020 JPM anashinda kwa kura nyingi zaidi ya zile za 2015.