MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Jf ni zaidi ya burudani. Ukiwa na UTASHI wa kuandaa desa lolote kuhusu habari nyeti tayar we ni jasusi mbobezi.Umetag mapopoma wawili ndo watoe ukweli wa hisia zako,ok acha tubaki spectators
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf ni zaidi ya burudani. Ukiwa na UTASHI wa kuandaa desa lolote kuhusu habari nyeti tayar we ni jasusi mbobezi.Umetag mapopoma wawili ndo watoe ukweli wa hisia zako,ok acha tubaki spectators
Ushindwe na ulegee pepo mkubwaAcha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Apson ni DG wa TISS wa milele ? mbona hawaitwi waliotoka juzi ? halafu siyo smart kihiiivyoo , pamoja na JK kumbeba sana mtoto wake lakini alishindwa kumuokoa , mwisho wa siku akapigwa chini Mbeya , halafu ni mtu aliyepitwa na wakati
Hivi ni lini utakumbuka ulipoziacha akili zako?Acha uchonganishi Na kuchochea Fitna Na Mtafaruku Kwenye Jamii
Akifanikiwa Rais imefanikiwa Nchi Na akishindwa Rais imeshindwa Nchi
Thibitisha tukuamini.Kuna wabobezi wa masuala haya kama kaka yetu Evarist Chahali watadadavua tetesi tulizopata hizi
Nimepenyezewa kwamba mwaka 2015 bwana mkubwa ambaye anaongoza visiwa vya Guam alikuwa na ushindani na mmoja ambaye rafiki yake wa karibu alikuwa mkuu wa FBI ya weusi,
Leo asubuhi ameonekana viunga vya Nyumba nyeupe na lengo lilikuwa ni kutimiza wito ili kupewa majukumu ya kumaliza mchezo unaotaka kuanzishwa na mzee wa cashew nuts
Mbaya zaid kampa makaratasi yenye report fulani mzee wa Guam
Naishia hapa GENTAMYCINE
Hahaha sawa.
CCM asili mnasemaje kuhusiana na hili jambo?Yao wao duu ya wenzao midomo juu.
Shukrani Mkuu kwa hiyo "insight'. Naomba nikuulize, je Membe ni tishio la dhati au ni hofu tu ya wanaCCM?Apson Mwangonda alikuwa confidant wa Edward Lowassa na mtu wake wa mkakati kuelekea kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa 2015.Alijionyesha wazi wakati Lowassa bado mwanachama wa CCM,wakishirikiana chini kwa chini kusuka mtandao ndani ya CCM na kukabiliana na kihatarishi cha kambi ya Kikwete ambacho walihisi kitakwamisha safari yao.Kambi ya Kikwete is typically saying Team Membe.Mwang'onda alianza kujiweka nyuma ya pazia baada ya Lowassa kwenda Chadema,which I think was their contigency plan.
Kwa hili linaolendelea linanifikirisha sana.Kwani nini JPM amekuwa anahaha kumrejesha Lowassa CCM.Amekuwa akimsifia sana.Na kitendo cha kumrecognize Apson Mwango'onda ni kunetrulize kambi na washirika wa Edward Lowassa kwa minajiri ya kuwatumia kama silaha kwenye vita yake na Membe.
Rudia tena,Mkuu Membe ndo alikuwa anawategemea sana watu hawa hasa Mwangonda lakin haikufanikiwa Maana Kikwete alikuwa imara sana kawasoma
Bi mkora upo??Yao wao duu ya wenzao midomo juu.
Kumbe Timu Membe na Timu Lowasa bado zipoo?