Ujue mtu ukiendekeza sana maisha ya kazi unaweza ukachizika japo ndo maisha yanayotuweka mjini hapa.
Kwa jinsi nilvyochoka na haya maisha jana nilihisi hiki kichwa kama sio changu nilihisi kama nimepandikizwa kichwa.
Nilivyorudi nyumbani nikaweka flight mode nikalala. Nikasema potelea mbali liwalo na liwe.
Raha niliyohisi wakati nipo usingizini haielezeki. Nyie usingizi mtam usingizi una raha kama hakuna zile simu na meseji za kazi zinazopigwa wakati umelala. Nimegundua hapa duniani hakuna kitu kinaleta raha halisi kama usingizi.
Kuanzia sasa sitokuwa napatikana kuanzia saa mbili usiku mpaka asubuhi. Simu za kazi zipigwe muda wa kazi tusisumbuane na tusinyimane uhuru maisha ndo haya haya!!