Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Baada ya ahadi ya nyongeza ya mshahara kupitia vyombo vyote vya habari nchini Kuna mengi yanasemwa na ikizingatiwa kuwa hakuna chanzo sahihi cha taarifa.
Inapofikia michakato inatendeka kimyakimya na wengi wao wakitarajia jipya kwenye pay tarehe ya pay July 2023 kunasababisha hasira na kinyongo cha Mwananchi mtumishi wa umma kwa kiongozi mwenye dhamana.
Chuki na mawazo mabaya hujengeka na kukosa Imani tena n kiongoz mkuu hasta Kwa sabab inaonekana anadanganywa na watendaji waliokarib yake wao wakila mkate na marupurupi mengi.
Kwamba eti kila mtu anatarehe yake ya increment vipi lisiwe jambo la wazi watumishi wakaelewa. Divide and rule hizi hupelekea migogoro isiyolazima.
HRs katika taasisi nyingi za umma hutumika kama wasemaji wakuu na inafikia hatua hawaw wawazi na wabunifu. Hizi naziona kama uchonganishi kati ya Rais na watu. Kuna watu wao kwa kuwa wanapata wanachokitaka hujiwa na saiti ya kutokujali watu wengine.
Ni wazi kabisa hapo kuna kasoro na imenyamaziwa