Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Unaongelea Divide and Rule wakati wewe / nyie matendo yenu yanacheza mulemule ?
Kwahio badala ya kila mtu kutetea kwake na akiridhishwa anafunga mdomo na kusifia (Jinsia, Imani, Wakulima, Wafanyakazi, Wanamichezo, Wanasiasa au Kada Fulani)..., wote mgepaza sauti kukemea Mapungufu ambayo ni mengi sana; Vitu havipo sawa na Serikali haitimizi wajibu wake, wamegeuka kuwa madalali, wanasiasa, machawa na Motivational Speakers (wala hakuna motivation bali kukatishana tamaa)
- Wakulima wananyonywa kila siku ni lini mmewatetea; au mkiongezewa, mgeongezewa mgeziba midomo na kupiga kelele za anaupigwa mwingi na kwamba anajali saana na kutumika kama wasemaje wakuu wa propaganda za kutukana waliopita ? - Watumishi sio wengi hata akiongeza mara mbili bado sio mzizi wa fitina kitaa bado watu wengi tena huenda ndio HR's wakaongezewa mrija wa Hongo kwa watu kuonga ili wakale hio Keki - Refer TRA kuongezewa Pesa - Je ufanisi uliongezeka.....