Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Juzikati hapa nilisafiri na manzi mmoja kwenda Dodoma kufanya field practices.Huyo manzi mwenyewe huwa sina mazoea nae sana nikiwa chuo.Ilitokea tu nikakaa nae siti moja bahati nzuri zaidi sehemu tuliyokuwa tunaenda kufanya field ni sehemu moja nje kidogo ya Dodoma mjini.
Njiani nimepiga nae story nyingi tu.Katika baadhi ya maongezi alinambia anapenda mwanaume anayemheshimu na sio wale wa kuuchezea mwili wake hovyohovyo.Akaendelea akasema hayupo tayari kumvulia chupi mwanaume aliyeanzisha nae mahusiano chini ya miezi mitatu.
Nikasema hamna kwere tulifika Dodoma usiku mida ya saa nne usiku.Magari ya kwenda kule tulipokuwa tunaelekea hayakuwepo halafu akawa anasema hela aliyobakiza ni ya nauli tu kufika tulikokuwa tunaenda na hana pa kulala.Ikabidi nifanye ugentleman kidogo kwa kuwa nilikuwa na vipesa kadhaa nilimchukua nikampeleka sehemu akala halafu tukachukua bodaboda mpaka sehemu yenye gesti.Kwa kuwa na mimi sikuwa na mavumba ya kutosha tulichukua chumba kimoja.
Kufupisha story usiku sikumfanya chochote.Tulilala bila kugegedana.Sasa huku field practice imekuwa kero aisee ananisema kwa mamanzi wenzie eti mimi mashine mashine yangu ni zero function sijambandua siku ile.Sasa nawaza huyu mwanamke aliposema anataka mtu wa kumheshimu alimaanisha nini?
Kweli usiamini kila analolisema Mwanamke.Wanawake nyinyi Duuuh!!! Sir God anawaona