Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.Juzikati hapa nilisafiri na manzi mmoja kwenda Dodoma kufanya field practices.Huyo manzi mwenyewe huwa sina mazoea nae sana nikiwa chuo.Ilitokea tu nikakaa nae siti moja bahati nzuri zaidi sehemu tuliyokuwa tunaenda kufanya field ni sehemu moja nje kidogo ya Dodoma mjini.
Njiani nimepiga nae story nyingi tu.Katika baadhi ya maongezi alinambia anapenda mwanaume anayemheshimu na sio wale wa kuuchezea mwili wake hovyohovyo.Akaendelea akasema hayupo tayari kumvulia chupi mwanaume aliyeanzisha nae mahusiano chini ya miezi mitatu.
Nikasema hamna kwere tulifika Dodoma usiku mida ya saa nne usiku.Magari ya kwenda kule tulipokuwa tunaelekea hayakuwepo halafu akawa anasema hela aliyobakiza ni ya nauli tu kufika tulikokuwa tunaenda na hana pa kulala.Ikabidi nifanye ugentleman kidogo kwa kuwa nilikuwa na vipesa kadhaa nilimchukua nikampeleka sehemu akala halafu tukachukua bodaboda mpaka sehemu yenye gesti.Kwa kuwa na mimi sikuwa na mavumba ya kutosha tulichukua chumba kimoja.
Kufupisha story usiku sikumfanya chochote.Tulilala bila kugegedana.Sasa huku field practice imekuwa kero aisee ananisema kwa mamanzi wenzie eti mimi mashine mashine yangu ni zero function sijambandua siku ile.Sasa nawaza huyu mwanamke aliposema anataka mtu wa kumheshimu alimaanisha nini?
Kweli usiamini kila analolisema Mwanamke.Wanawake nyinyi Duuuh!!! Sir God anawaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya booking mapema gest tutayofikia waweke vyumba viwil tunakuja[emoji23]
Huyo alikuwa anajikosha tu alikuwa kampenda maneno ya mkoswajiIngekua ni mimi ningekuheshimu sana
Nalo neno kabisaNa wewe waambie hukumpenda sio type yako. Jeuri mwenzie kusudi
Yaukweli hayo mbona siku ile haikuwa hivyo hata simba akilowa hujikunyata[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] kama nyauHahaha mimi ungenidharau maana simba halali na swala zizi moja!
Hata kama hujavutiwa naye ili mradi utimize wajibu? Nampa hongera sana kwakushida hilo jaribu mahaba[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]We boya kweli aisee mimi binafsi nisingeweza ningetest kwanza kuomba game nione kama yaliyomo yamo na kama angekataa ningemwambia achukue zaga zake akatafute sehemu nyengine ya kulala yani hapo no way lazima ungekula mzigo dogo
Haahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe sio kama hiyo au chai kabisa duuhata hv huyo demu hukuntamani. umenikumbusha siku nlilala na demu chumba kimoja kwny dabodeka yeye akalala juu mini chini lakini asubui ilivo fika nlijikuta nimeanguka nipo juu alipo lala yeye. ...
Haa haaHahaha ningekuvalia chupi ya chuma
Aise hata gugu unabeba utakuja susiwa usiye mtaka na anamimba tayari ndiyo wale unao usipo penda[emoji23] [emoji3] [emoji23]Dogo mzinguaji aisee utakua hanisi wewe eti gentleman unalala na mzigo unauangalia tu? .....personal siwezi aisee....sifa ya u gentleman ni kula awe mzuri au mbaya.....dada yako huyo???
Anyway dogo zingatia masomo