Ni rahisi kutimiza anachokitaka shetani lakini sio Mwanamke.

Labdaa kama Huyo manzi ni kimbau mbau hasaa ilaa Me nisingewezaa... SEMA mwanamke akikuambia sitakii juaa ndo anatakaa hasaa wewe hapoo mwambie Yeye sio type yako ndo maana... Ila kama demu mkali umezingua sanaaa mzee[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Vijana 90 huambukizwa HIV kila siku iendayo kwa Mungu.
Na kwa kuwa ni miongoni mwa vijana, tunza uvulana wako.
 
Hahahaaaa.
 
Fanya booking mapema gest tutayofikia waweke vyumba viwil tunakuja[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kimoja itakua bedroom
Na hicho kingine n toilet
 
We boya kweli aisee mimi binafsi nisingeweza ningetest kwanza kuomba game nione kama yaliyomo yamo na kama angekataa ningemwambia achukue zaga zake akatafute sehemu nyengine ya kulala yani hapo no way lazima ungekula mzigo dogo
Hata kama hujavutiwa naye ili mradi utimize wajibu? Nampa hongera sana kwakushida hilo jaribu mahaba[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
hata hv huyo demu hukuntamani. umenikumbusha siku nlilala na demu chumba kimoja kwny dabodeka yeye akalala juu mini chini lakini asubui ilivo fika nlijikuta nimeanguka nipo juu alipo lala yeye. ...
Haahaha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe sio kama hiyo au chai kabisa duu
 
Dogo mzinguaji aisee utakua hanisi wewe eti gentleman unalala na mzigo unauangalia tu? .....personal siwezi aisee....sifa ya u gentleman ni kula awe mzuri au mbaya.....dada yako huyo???

Anyway dogo zingatia masomo
Aise hata gugu unabeba utakuja susiwa usiye mtaka na anamimba tayari ndiyo wale unao usipo penda[emoji23] [emoji3] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…