Ni rahisi kutumia cheo na madaraka kuzima ndoto za wengine, ndoto yako itazimwa pia

Ni rahisi kutumia cheo na madaraka kuzima ndoto za wengine, ndoto yako itazimwa pia

Kauli ya Rais leo akiwa Tabora kuhusu Daktari alieondoka Hospitali ya serikali na kuhamia Hospitali ya private imeniacha na maswali mengi sana,

1) Kauli ya Rais kwamba Daktari yule akamatwe kisa mkopo...

Mithali 28:16​

Mithali 28:16 A​

Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;
SRUV: Swahili Revised Union Version
 
Tunalazimisha watu watusikilize ila tunasahau kwamba hata wao wana upeo mkubwa kuliko sisi na tunachowazidi ni mamlaka tu.

BITE HUU NI UZI WA KINABII AMA HAKIKA UMEANDIKA KWA KIFUPI ILA NI UJUMBE MKALI WENYE UZITO USIOPIMIKA

Huu ndio ukweli wamejisahau nakuhisi wao wanaakili sana kuliko wengine nakujiona wao wanachosema ndio sawasawa

Wengine wamefikia kujifananisha katika uongozi wao kuwa ni uongozi uliotukuka kiasi cha kuweza kuwaongoza Malaika wa mbinguni (Astaghfirullah L'aaliyul Adhwim) huko ni sawa na kumdhihaki muumba

Watu hawa hawana tofauti na matajiri waliojaaliwa mali na mapato huwa wanajihisi wanaakili za utafutaji kuliko wengine wanasahau kuwa hayo huwa ni majaaliwa ya Mungu kukupa nafasi ya kuweza kutajirika ... !!!

TUMUOMBEE TAYARI LAANA YA MUNGU INADHIHIRI TARATIBU KWA KUWADHIHAKI MALAIKA WAKE ... !!!
 
Back
Top Bottom