mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Kwahiyo mkuu akipata izo point 6 kwa vipers na horoya anafuzu? Maana kama umetumia kigezo Simba atakuwa nyumbani na atashinda mechi za nyumbani basi Horoya nayeye ana mechi mbili nyumbani kwake akishinda msimamo unabaki vilevilekitu gani kitamzuia simba kupata pointi tatu kutoka kwa vipers na horoya kwa mkapa?
Horoya sio wa kumfunga rajaKwaio mkuu akipata izo point 6 kwa vipers na horoya anafuzu? Maana kama umetumia kigezo Simba atakuwa nyumban na atashinda mechi za nyumbani basi Horoya nayeye ana mechi mbili nyumban kwake akishinda msimamo unabaki vilevile
Kwa kigezo gani?horoya sio wa kumfunga raja
ViwangoKwa kigezo gani?
Lakini pia Horoya sio wa kumfunga Vipershoroya sio wa kumfunga raja
Kombe lenu la loser linawafanya muonekane vituko kwenye mpira.Huu mwaka si wa Simba!
Wajipange tu msimu ujao!
Otherwise mashabiki wakitaka kufuzu ni kujitafutia presha za Bure tu maana Horoya si saizi yao!
Kila nikijaribu kupiga hesabu zinakataa. Wenye kujua mtuambie inawezekana vipi Simba ikatinga hatua inafuata huko Cafcl? Maana nawaona wakimaliza nafasi waliyopo(3) hivyo wao pamoja na vibonde wenzio vipers watafungasha virago na kurudi nyumbani. Msimamo utabaki hivi hivi paka mwisho wa makundi.
View attachment 2532823
Kazi mnayoHapo Simba akijitahidi sana atamaliza na pwointi 5 yani atadroo na viper's na Horoya taifa