Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko Simba kufuzu robo fainali ya CAFCL

Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko Simba kufuzu robo fainali ya CAFCL

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Kila nikijaribu kupiga hesabu zinakataa.

Wenye kujua mtuambie inawezekana vipi Simba ikatinga hatua inafuata huko Cafcl?

Maana nawaona wakimaliza nafasi waliyopo(3) hivyo wao pamoja na vibonde wenzio vipers watafungasha virago na kurudi nyumbani.

Msimamo utabaki hivi hivi paka mwisho wa makundi.

Screenshot_20230226-170415.jpg
 
Kitu gani kitamzuia simba kupata pointi tatu kutoka kwa vipers na horoya kwa mkapa?
 
kitu gani kitamzuia simba kupata pointi tatu kutoka kwa vipers na horoya kwa mkapa?
Kwahiyo mkuu akipata izo point 6 kwa vipers na horoya anafuzu? Maana kama umetumia kigezo Simba atakuwa nyumbani na atashinda mechi za nyumbani basi Horoya nayeye ana mechi mbili nyumbani kwake akishinda msimamo unabaki vilevile
 
Huu mwaka si wa Simba!

Wajipange tu msimu ujao!

Otherwise mashabiki wakitaka kufuzu ni kujitafutia presha za Bure tu maana Horoya si saizi yao!
 
Simba mara zote huwa ni msindikizaji mwenye kusindikiza wenzake kwenye mafanikio[emoji23][emoji23]
 
Huu mwaka si wa Simba!

Wajipange tu msimu ujao!

Otherwise mashabiki wakitaka kufuzu ni kujitafutia presha za Bure tu maana Horoya si saizi yao!
Kombe lenu la loser linawafanya muonekane vituko kwenye mpira.
 
Kila nikijaribu kupiga hesabu zinakataa. Wenye kujua mtuambie inawezekana vipi Simba ikatinga hatua inafuata huko Cafcl? Maana nawaona wakimaliza nafasi waliyopo(3) hivyo wao pamoja na vibonde wenzio vipers watafungasha virago na kurudi nyumbani. Msimamo utabaki hivi hivi paka mwisho wa makundi.

View attachment 2532823

Sawa, mapambano yanaendelea, huenda ukawa sahihi kabisa. kila la heri katika unabii wako na ubarikiwe
 
Simba hata iwe mbovu kama zalan kufika robo fainali CAFCL au CAFCC sio story tena ni kawaida sana.
 
Back
Top Bottom