Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko Yanga kuwa bingwa

Kocha wa Yanga jana akihojiwa alisema anapambania nafasi ya pili dhidi ya Azam ,na kakiri kwamba simba watachukua ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kwa sababu mpira wa bongo mshindi hua ana julikana kma CCM lkn kwa football ya duniani bado kati ya hizo team tatu zina nafasi ya ubingwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtasema simba inahonga marefa inaendelea kujiimarisha ninyi shindeni mechi zetu ndugu hakuna siri nyingine hapo .Huyo Juve unayemsemea kachukua SERIE A KACHUKUA MARA NYINGI MFULULIZO MBONA HUSEMI KANUNUA MECHI?
 
Bora wakusanye maana kama mambo yenyewe ndio kama yale ya pale ushirika moshi yanatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna rushwa mpya imeanza..Mtibwa vs Simba yule striker hatari wa Mtibwa ikasemekana ameenda trial nje ..nchi aliyoenda haikutajwa...jana na Lipuli Nonga nae inadaiwa kaenda trial nje ...
Inayotisha sana Rushwa ni ile ya ushirika Moshi na ya Lipili pale Taifa.
Sijui hata kizazi kinachokuja tutakiambia sababu zip kwamba yali hayakua magoli, moja ilikua freekick nyingine ilikua kona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…