Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna siku tulitembelewa na baharia ambaye ameishi pakistan,india,ufaransa na kwa sasa anaishi canada na hizo nchi zote kuangaika kwake ametumia mda mrefu tokea akiwa kijana katika safari ya kufikia nchini canada.
Ila kilichonielewesha ni rahisi sana mtu kuelewa lugha za watu ukiwepo sababu wanakuwa wanaongea lugha yao na itakufanya ujifunze
Kuliko kuisomea ukiwa nchini hapa.
Kama unataka mtoto ajue kichina vizuri bora kumpeleka huko huko.