Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

Huko nje ni gpa wanaangalia uwe wa Teku, au chuo gani, low gpa hamna nafasi
 
Vyuo vingi hapa Tz content ni ile ile hakuna kigeni zaidi kilichobaki ni status ya chuo tu
 
Pamoja na yote bado udsm na zilizokuwa branches zake yani SUA, muhimbili na ardhi..bado ndio vyuo bora kabisa hapa Tanzania huenda hata miaka 100 ijayo.
 
Kwani hivi vyuo vina mitihani ya kitaifa?
Je, usahishaji unafanyika kimataifa?
Tatizo sio kufundisha sana, tatizo ni wakufuzi. Wakufuzi wengi waajiriwa wa serikali hapa Bongo wanapofelisha huona sifa.
 
Mtoa mada umewahi kusoma kwenye hivyo vyuo vyote?,au umeikosa first class ukadhani ungesoma UDOM ungepata
 
Pamoja na yote bado udsm na zilizokuwa branches zake yani SUA, muhimbili na ardhi..bado ndio vyuo bora kabisa hapa Tanzania huenda hata miaka 100 ijayo.
Imeisha hiyooooooooooh.
 
Once my teacher told us in class,it is easier to draw a good sample from a large population ..... Sijui kama inahusiana na ambacho kimepostiwa
 
Hujui UDOM wewe yaani vimitihani wanavyotoa hata mtoto mdogo anajibu ni mitihani lege lege, ukitaka iundwe Bodi ya Mitihani ya Vyuo Vikuu na mtihani wapige mmoja na UDSM, IFM, IRDP au SUA utaona maajabu,
TANZANIA wote wababaishaji
 
Reactions: ris
Umeanza vizuri lkn umekuja kunichefua hapo kati na mwishoni, uzi wako ni WA kipuuzi sana,sasa wewe usilinganishwe na walioungaunga kwani wewe ni nani??.Kwa taarifa yako wako waliofaulu vizuri sana zaidi yako lkn kwasababu zilizo nje ya uwezo wao ilibidi waende mfumo wa kuunga unga.

Ngoja nikupe mfano wa rafiki yangu mmoja,huyu mjuba alikula Div.I point 8 kutoka Kilocha Seminary kule Njombe O-level hiyo, A-level akala Division I point 4,pale Mzumbe boys HGL,sasa baada ya kumaliza form six akatamani kusoma ishu za Wildlife, Hivyo ikabidi akasome Diploma ya Wanyamapori kule Mweka kwa Kutumia cheti Cha form four maana isingewezekana kusoma wildlife moja kwa moja Chuo kikuu kwa HGL,Jamaa amejiendeleza sasa hivi yupo anakula PHD.Kwa hiyo usiwadharau walioungaunga.
 
Shule ya IFM ndugu isikie tu hivyo hivyo. Ukiingia pale shile ikichanganya utaomba japo upige karai zako tu za kutosha usidakwe. Ile shule ukitoka pale huwa hata hakuna haja ya kuajiriwa
Sasa Mbona kwenye ubora wa vyuo vikuu hakipo kwenye top three??.
 
Na wewe Mbona hujafanya utafiti?
 
josee88, kaka unasema kweli mimi nimekuja UDOM mwaka huu nikijua mambo ni lele mama ili nile bata but kulingana na utafiti niliofanya few days kwenye course ya Informatics ni kujikana
Km umetokea kitaa hiyo ni kawaida sana,hata kufundishwa jambo jepesi tu utaona gumu.
 
Perfection vs level of understanding and comptence.

Mwalimu wa udsm anatkusahihi kama ulijubu vile vile kilichiandika kwenye kipamfeti chake cha course manual.

Walimu wa vyuo watacheki kama uko relavant wata weigh uzito aa uelewa wako.

Udsm na wenzake ni ma perfectionists[emoji2]
 
Intellectual arrogance zinawasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…