Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

Labda majengo [emoji1787]mazuri ndio maana kinaitwa chuo cha kata [emoji1787][emoji1787][emoji1787]si unajua watz hawakosi sababu
 
Inaonekana UDOM ipo vizuri sana kwa maoni ya wadau wengi humu ingawaje sijasoma pale.
 
Mbona umeandika kama mshamba 'flani'?
 
Hujui UDOM wewe yaani vimitihani wanavyotoa hata mtoto mdogo anajibu ni mitihani lege lege, ukitaka iundwe Bodi ya Mitihani ya Vyuo Vikuu na mtihani wapige mmoja na UDSM, IFM, IRDP au SUA utaona maajabu,
Binafsi nimesoma Mechanical Engineering, Nilikuwa na Jamaa wanasoma UDSM nikawa nawaomba mitihani yao ili nione concept zao katika kujiongezea maarifa. Kiukweli nilikuwa nasoma hivi vyuo vya Institute lakini hata siku moja hatukuwahi kupewa mitihani rahisi namna ile. Mihitani ya UDSM watu wanawekewa mpaka matching items, Engineeeing drawing mtu anawekewa Selections badala aachwe achore mwenyewe. Tangu hapo huwa sipimi uelewa wa mtu kwa kigezo amesoma chuo gani naangalia tu ana uwezo gani.
 
Unajua elemu ya utahini.
Unamfahamu Broom na theory ya Broom taxonomy ? Kwdli wewe umegraduate UDOM.
 
Na wewe Mbona hujafanya utafiti?
Huyo mropakaji anasema hapa udom rahisi amtume hata mdogo wake aje apige shule apa nadhani atamhadithia vema.kama ni lelemama hata semester 2 hatoboi.vijana kila siku wanarudi nyumbani UDOM Isikie tu sio Kama unavyodhani
 
Mjadala mzuri ila hauwezi kufika conclusion;
Mi Mzumbe allumni nipo zangu hapa nasikilizia
 
Unafikiri vyuo vikuu ni kwa ajili ya degree holder na Masters tu??? Kuna vyeti na diploma mwanajf!! Fuatilia hata Udsm hakuna form four?? Tena wenye point 29!!!!

Wanasema wewe kama unataka uone ingia field na sio kusimuliwa
 
Unajua elemu ya utahini.
Unamfahamu Broom na theory ya Broom taxonomy ? Kwdli wewe umegraduate UDOM.
We kweli kijana wa hovyo, umekariri theory uonekane mjuvi wa mambo. Nimeshasema mimi ni Mechanical Engineer afu unaniambia eti nimesoma UDOM, hujui hata kozi zilizopo UDOM. unawezaje sasa kujadili suala kama hili. Kijana Hiyo kozi haipo UDOM na kama wameianza basi hawajatoa graduates bado. Mimi nimesoma enzi elimu na siasa hawajawa marafiki, NOT E THAT.
 
We soma popote pata chochote ukishindwa kugeuza elimu yako kuwa kipato elimu yako haina maana.

FIRST CLASS IN PAPERS BILA KUWA NA MAISHA FIRST CLASS NI ZERO. WAAMBIENI WATOTO WENU HILI.
 
Hujui UDOM wewe yaani vimitihani wanavyotoa hata mtoto mdogo anajibu ni mitihani lege lege, ukitaka iundwe Bodi ya Mitihani ya Vyuo Vikuu na mtihani wapige mmoja na UDSM, IFM, IRDP au SUA utaona maajabu,

Sio kweli, tuliosoma udom na udsm ni mashahidi wa hili, tena udsm ndo mtelezo
 
Kama umesoma vyuo vyote viwili nitakusikiliza vinginevyo huwezi kulinganisha mambo ambayo hata wewe huna uhakika nayo
 
Kama umesoma vyuo vyote viwili nitakusikiliza vinginevyo huwezi kulinganisha mambo ambayo hata wewe huna uhakika nayo
Mkuu hapa hatubishani tunajuzana. Nakubali UDSM na UDOM ni vyuo vikubwa hapa Tanzania, Hiyo haina maana kila anaesoma hapo basi ni mjuzi wa mambo, ndio maana kuna disco pia. Nimesoma Institute na mtu aliyepata division 1.12 o level na advance akapata 1.6 lakini aliomba electrical UD na akaachwa, so usiamini kila unachosikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…