Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
mimi nadhani TCU waanze kutunga mtihani mmoja kwa vyuo vyote ili heshima irudi tu. Maana kuna vyuo wanagawa GPA za bure.UDSM hata kama uko vizuri wanakufelisha kusudi mkuu. Wanaamini kufelisha ndo ubora wa chuo
Vyuo vya kata na private wanatoa gpa nzuri inayokuwezesha kusoma au kupata scholarship nje sasa udsm ni ujinga na kuharibiana maisha, sasa hivi kuna walimu wazee tu ila vijana wa ku cover nafasi hamna kisa gpa.mimi nadhani TCU waanze kutunga mtihani mmoja kwa vyuo vyote ili heshima irudi tu. Maana kuna vyuo wanagawa GPA za bure.
Vyuo vya kata na private wanatoa gpa nzuri inayokuwezesha kusoma au kupata scholarship nje sasa udsm ni ujinga na kuharibiana maisha, sasa hivi kuna walimu wazee tu ila vijana wa ku cover nafasi hamna kisa gpa.
huo ni ukweli mtupuVyuo vya kata na private wanatoa gpa nzuri inayokuwezesha kusoma au kupata scholarship nje sasa udsm ni ujinga na kuharibiana maisha, sasa hivi kuna walimu wazee tu ila vijana wa ku cover nafasi hamna kisa gpa.
Unadhani hata hizo scholarships wanatoa hovyo hovyo tu eti kisa una GPA ya 5?! Trust me, mtu mwenye Upper Second ya UDSM au SUA anaweza kupaar scholarships kirahisi kuliko mwenye First Class kutoka baadhi ya vyuo nchini. Wewe ukitaka kujua vyuo ambavyo wanafunzi wanapata scholarship kirahisi basi angalia tu education background ya lecturers wa vyuo husika! Ukiona Department imejaa lecturers wenye Bachelor hadi PhD wamesomea Bongo basi fahamu chuo husika kina ukame wa kupata scholarships ingawaje pia ni kweli baadhi ya vyuo/vitivo kutokana na expected impact yake basi unakuta wao ni rahisi sana kupata scholarships ukilinganisha na vyuo/vitivyo vingine. Mfano mzuri ni SUA, nilifanya kazi pale miaka 3, na majority ya lecturers wao wamesoma Masters na PhD Canada, Australia na UK hususani kwenye commonwealth universities. Sikuwahi kuuliza sababu ni nini lakini logic tu inaonesha kwa nchi maskini kupata scholarship ya masomo ya kilimo inaweza kuwa rahisi zaidi kuliko, kwa mfano kupata scholarship ya mambo ya accounts.Vyuo vya kata na private wanatoa gpa nzuri inayokuwezesha kusoma au kupata scholarship nje sasa udsm ni ujinga na kuharibiana maisha, sasa hivi kuna walimu wazee tu ila vijana wa ku cover nafasi hamna kisa gpa.
Mimi najua Sua ni chuo kinachoongoza wanafunzi wake kupata funds za kusoma kuanzia master's hadi nje ya nchi kiurahisi Sana, tofauti na vyuo vingine maana yaweza kupita mwaka scholarship kitivo hakijapata nafasi.Unadhani hata hizo scholarships wanatoa hovyo hovyo tu eti kisa una GPA ya 5?! Trust me, mtu mwenye Upper Second ya UDSM au SUA anaweza kupaar scholarships kirahisi kuliko mwenye First Class kutoka baadhi ya vyuo nchini. Wewe ukitaka kujua vyuo ambavyo wanafunzi wanapata scholarship kirahisi basi angalia tu education background ya lecturers wa vyuo husika! Ukiona Department imejaa lecturers wenye Bachelor hadi PhD wamesomea Bongo basi fahamu chuo husika kina ukame wa kupata scholarships ingawaje pia ni kweli baadhi ya vyuo/vitivo kutokana na expected impact yake basi unakuta wao ni rahisi sana kupata scholarships ukilinganisha na vyuo/vitivyo vingine. Mfano mzuri ni SUA, nilifanya kazi pale miaka 3, na majority ya lecturers wao wamesoma Masters na PhD Canada, Australia na UK hususani kwenye commonwealth universities. Sikuwahi kuuliza sababu ni nini lakini logic tu inaonesha kwa nchi maskini kupata scholarship ya masomo ya kilimo inaweza kuwa rahisi zaidi kuliko, kwa mfano kupata scholarship ya mambo ya accounts.
Hilo la kwamba uatapa wapi nafasi na Lower Second yako lilimkuta Bro, na ndie aliniunganisha pale SUA. Jamaa alisoma pale pale SUA lakini akatoka na Lower Second miaka ya 90. Kwavile jamaa alikuwa ana passion sana ya kufundisha, akaamua akapige masters pale pale akitarajia labda angefikiriwa lakini wakamwambia haiwezekani, angalau ungekuwa na 3.5 tungekufikiria. Sema miaka ile mambo bado mazuri, alivyobaniwa na SUA, akafanya kazi na projects za Wa-Danish, na kwavile projects zenyewe zinahusiana na masuala ya kilimo, ikawa kila wakati anakutana na ma-lecturer wa SUA wale wale anaoamini walikuwa wamembania.Mimi najua Sua ni chuo kinachoongoza wanafunzi wake kupata funds za kusoma kuanzia master's hadi nje ya nchi kiurahisi Sana, tofauti na vyuo vingine maana yaweza kupita mwaka scholarship kitivo hakijapata nafasi.
Pia hzo lower second za udsm utapata wapi na nafasi kama hata nafasi ya kuwa lecturer huna tofauti na wa vyuo vya kata tena unakuta uko nondo kuwazidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee
Nendeni kasome mzipate kama mnadhani UDOM ni pepesi hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe UDSM na chchote plz.Haya mambo ya kushindanisha vyuo kwa hizi "manipulation logics" ni ya kihisia. Yaani chuo cha mkoloni mnataka mkishindanishe na vyuo vya miaka ya 2000 hivi. Hamna chuo cha serikali chochote wanachotoa "GPA" za bure, wanafunzi wanasoma na huko kubaniwa mnako kusema hapa na huko pia kupo. Siku hizi wanafunzi wa "UDSM" hawasomi, wanaendekeza siasa na starehe ndo maana wanashindwa kufikisha hizo GPA.
Watu wameshiba chipsi wanakuja jiropokea tu huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajulikana mkuu, haiwezekani upate first class ud ushindwe kufanya assignment kuanzia mpangilio na yet bado upate supplementary za kutoshaUnatumia "vigezo" gani kusema kwamba uko nondo kuwazidi hao wa vyuo vingine?
Wapi nimeandika mwenye lower second class atapewa priority?! Acha kukurupuka!Ulishawahi kuapply scholarship yeyote?. Kigezo cha kupata scholarship let say ni uwe na above 3.5 GPA, then wewe mtu Una "lower second class" kutoka SUA au UDSM, Kwamba wewe mwenye "lower second" utapewa priority , hamna kitu kama hicho hacha kuwapotosha wenzako.
Wee jamaa una matatizo! Wapi nimeshindanisha vyuo?! Kama umesoma vyuo vinavyosimangwa hapa, that's not my problem kwahiyo tafuta wa kuwatolea mapovu kwa sababu cjaponda chuo chochote ingawaje ukweli utabaki palepale kwamba, academic ranking inatofautiana kati ya chuo na chuo!!!Haya mambo ya kushindanisha vyuo kwa hizi "manipulation logics" ni ya kihisia. Yaani chuo cha mkoloni mnataka mkishindanishe na vyuo vya miaka ya 2000 hivi. Hamna chuo cha serikali chochote wanachotoa "GPA" za bure, wanafunzi wanasoma na huko kubaniwa mnako kusema hapa na huko pia kupo. Siku hizi wanafunzi wa "UDSM" hawasomi, wanaendekeza siasa na starehe ndo maana wanashindwa kufikisha hizo GPA.
Unaendelea kudhihirisha umesoma chuo cha aina gani!! Kuna mahali nimesema mimi ni UDSM alumnus?! Jibu maswali niliyokuuliza vinginevyo kuna kila dalili huna hata uwezo wa kuelewa mtu alichoandika!!Jifunze kufanya "argument and reasoning". Huwezi kuwa "alumnus" wa UDSM wewe. Alumnus wa chuo bora hawezi kutoa majibu kama haya.
Angalia unavyotapatapa!! Kuna mahali hapo nimesema lower second class inaweza kupewa priority?! Au kwavile nimesema "hiyo lower second ya UDSM ikaangaliwa"!? Sasa kuangaliwa ndo kupewa priority wakati nimetangulia kusema "...ingawaje ni kweli huwezi kupata scholarship"?!"Lakini hata hivyo, nimesema First Class ya Kule vs Upper Second Class ya Huku!! Na ingawaje sitetei mambo ya hovyo ya uminyaji yanayofanywa na hivi vyuo vikongwe lakini pia usisahau hata kama ni kweli huwezi kupata scholarship lakini unaweza kukuta hiyo lower second ya UDSM ikaangaliwa kuliko ya upper ya vyuo vingine. Kama nilivyosema awali, scholarship isn't all about GPA but versity reputation ni muhimu sana!! Ufalme wa haya ma-GPA ya vyuo vingine unaishia Bongo lakini sio nje ya mipaka ya Bongo labda utumie pesa yako kujisomesha, tena kwenye vile vyuo vya kibiashara!! Unaweza kutoka Bongo na GPA ya 5, yenye average marks 99% lakini kwenye vyuo reputable duniani usichukuliwe provided chuo ulichosema kwao hakipo considered as reputable!"
Umeshindwa kujibu!!! Pole sana, ni matunda ya kule ulikosoma hayo!!!Poor reasoning. All the best.
Jibu ulichoulizwa, or else, SYFU coz' you're wasting my time!Nimesoma chuo bora, uwezo wangu ni mkubwa sana, simple "unlogic questions" kama hizo za kuonesha ubabe nakuachia wewe ujijibu, itakusaidia ku develop "mindset".
Uhalisia unajieleza wenyewe sio mie nianze kueleza.Tuelezee kwa nini tusikifananishe na chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameshiba chipsi wanakuja jiropokea tu huku[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app