Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

bodaboda wa mbarali mnamwaga slang, ngeli na ung'eng'e wa kiujuzi sana dah 🀣

huku mkipewa nguvu na backup ya Putin, Kim na Mu-Iran kwamba hamfuatilii mdahalo wala issues za US, kumbe mnahadaa ulimwengu ili mvuruge uchaguzi na wakati huo kipaumbele na kitisho chenu kikubwa ni Marekani πŸ’

hata hivyo,
as we speak,
sugar available and price are very stable, and are declining slowly.

Productions are underway within our internal sugar industries and importations are also continue as per contracts and time frame given to specific permitted sugar importers πŸ’

so,
hiyo si shida tena ya kubabaika nayo πŸ’
 
Mkuu tukiwa tunaongelea mambo makubwa kama haya na tukisema dunia maana yake hio mbarali yenu tulishaiweka kando tukisema dunia itashuhudia tunamaanisha marekani yenyewe,ulaya,na asia kidogo ndio hasa wenye interest na haya mambo na ndio dunia yenyewe inayosubiria mdahalo huo alhamisi ijayo.
 
Wakuu leo kuna mpambano wa hawa magwiji kuelekea uchaguzi wa USA kati ya Baden na Trump ila sijajua ni muda gani kwa saa za hapa kizimkazi?

USSR
 
Trump hana jipya ni yale yale ya "Proud Boys stand back and stand by..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…