Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

Ni Rais Joe Biden au Donald Trump kumnyong'onyeza mwenzake kwenye mdahalo wa kwanza kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Marekani Novemba 2024?

Enheeee... Sawa kabisa. Aksante.

SEHEMU ya dunia itafuatilia.

Preponderant majority of world population HATUTAFUATILIA. Itakuwa saa 9 usiku, wengi Afrika tutakuwa tumelala. We got shit to do next morning!

Na hatuyajui, na hatuyaelewi kata kata mambo ya siasa za Marekani. Wao sio mhimili wa dunia inapozungukia. Mambo anayoyakataa Putin na Kim Jong Un na Mu-Iran.

The average Mama Ntilie in Mbarari Stendi worrying about price of sugar and rice commodities doesn'f give rat's ass about mdahalo wa Joe Biden.... We have no media access to that stuff, and it has no relevance to us anyhow! We couldn't care less! I am sorry! Hahahaaaaaaaaa...
bodaboda wa mbarali mnamwaga slang, ngeli na ung'eng'e wa kiujuzi sana dah 🤣

huku mkipewa nguvu na backup ya Putin, Kim na Mu-Iran kwamba hamfuatilii mdahalo wala issues za US, kumbe mnahadaa ulimwengu ili mvuruge uchaguzi na wakati huo kipaumbele na kitisho chenu kikubwa ni Marekani 🐒

hata hivyo,
as we speak,
sugar available and price are very stable, and are declining slowly.

Productions are underway within our internal sugar industries and importations are also continue as per contracts and time frame given to specific permitted sugar importers 🐒

so,
hiyo si shida tena ya kubabaika nayo 🐒
 
Mkuu tukiwa tunaongelea mambo makubwa kama haya na tukisema dunia maana yake hio mbarali yenu tulishaiweka kando tukisema dunia itashuhudia tunamaanisha marekani yenyewe,ulaya,na asia kidogo ndio hasa wenye interest na haya mambo na ndio dunia yenyewe inayosubiria mdahalo huo alhamisi ijayo.
WEWE utashuhudia. Sio dunia itashuhudia.

Hapa Mbarali stendi hatuna vocha, wala hatujui mdahalo ni lini na saa ngapi, wala hatuna simu za kisasa, wala nia, wala muda wa kufuatilia siasa za midahalo ya Marekani. Nobody gives a damn!

Hatuelewi, hatujui wanabishania nini, na hatutaki kujua. Hayatuhusu
 
Wakuu leo kuna mpambano wa hawa magwiji kuelekea uchaguzi wa USA kati ya Baden na Trump ila sijajua ni muda gani kwa saa za hapa kizimkazi?

USSR
 
Trump hana jipya ni yale yale ya "Proud Boys stand back and stand by..."
 
Back
Top Bottom