ok.Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM

..ccm ipi, ccm yenyewe inamilikiwa km hao uliowataja..Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM