NI RASMI IMETHIBITISHWA JKT, JWTZ NA POLISI NI MALI YA CCM

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
 
Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
..ccm ipi, ccm yenyewe inamilikiwa km hao uliowataja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…