Ni rasmi mechi za Yanga na Simba first leg kuchezwa usiku

Timu unayo, ajira hauna, pesa hauna, unanuka ufukara Ila una Muda wa kuiwaza timu yako eti una timu..una timu wewe? Gsm na hersi ndio wenye timu, wao ndio.wanaifaidi kwa kupata mipesa. Pole Sana dogo.
Kwahiyo bando umemnunulia wewe, sio?
Alafu si lazima mtu aajiliwe ndio awe na pesa, wengine ni wakulima na wengine wanamiliki makampuni yao wenyewe, au unadhani Bakhresa anaajira?
JamiiForums1568655207.jpg
 
Timu unayo, ajira hauna, pesa hauna, unanuka ufukara Ila una Muda wa kuiwaza timu yako eti una timu..una timu wewe? Gsm na hersi ndio wenye timu, wao ndio.wanaifaidi kwa kupata mipesa. Pole Sana dogo.
si ungeenda jukwaa la uchumi huko kwa matajiri wenzako
 
Timu unayo, ajira hauna, pesa hauna, unanuka ufukara Ila una Muda wa kuiwaza timu yako eti una timu..una timu wewe? Gsm na hersi ndio wenye timu, wao ndio.wanaifaidi kwa kupata mipesa. Pole Sana dogo.
Mbumbumbu akidhihirisha umbumbumbu wake
 
Yanga alishinda kwa mkapa,game ya pili atapangiwa kucheza mchana wa Ramadan
Hapana mechi ya marudiano itapigwa saa mbili usiku kwa kule Afrika kusini na huku Tanzania itakuwa saa tatu usiku.
 
Back
Top Bottom