Ni rasmi sasa David De Gea ameaga Manchester United

Ni rasmi sasa David De Gea ameaga Manchester United

Lawrichie

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
825
Reaction score
2,340
Mchezaji huyo ambae amedumu kwa muda wa miaka 12, toka enzi za Sir Alex hatimae anaondoka rasmi na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine.

David De Gea anaondoka baada ya kushindwana na timu yake ya Man United katika majadiliano ya kuongeza mkataba mpya, baada ya mkataba wake kuisha rasmi tarehe 30.06.2023.

Kwa sasa United wako kwenye hatua za mwisho za kumsajili golikipa Andrew Onana kutoka Inter Milan kama mbadala wa David De Gea.
===

I just wanted to send this farewell message to all Manchester United supporters.

I would like to express my unwavering gratitude and appreciation for the love from the last 12 years. We’ve achieved a lot since my dear Sir Alex Ferguson brought me to this club. I took incredible pride everytime I pulled on this shirt, to lead the team, to represent this institution, the biggest club in the world was an honour only bestows upon a few lucky footballers.

It’s been an unforgettable and successful period since I came here. I didn’t think from leaving Madrid as a young boy we would achieve what we did together.

Now, it’s the right time to undertake a new challenge, to push myself again in new surroundings.

Manchester will always be in my heart, Manchester has shaped me and will never leave me.

We’ve seen it all. 🤘🏼❤️
 
Back
Top Bottom