Ni Rasmi sasa kiwanda cha magari ya Volkswagen chafunguliwa Kenya

Ndiyo ukweli Mkuu ukweli wa kusikitisha sana . Busy kutoiheshimu katiba, busy kuminya uhuru wa habari nchini na kujieleza, busy kutaka Watanzania tuishi kama mashetani, busy kutengua teuzi kisha kuteua tena, busy kuwakingia kifua mafisadi wa Lugumi, Escrow, IPTL, MV Uozo, Wakwapuzi wa bilioni 16 za wahanga ili tu wajipige vifua kwamba wameutokomeza ufisadi nchini na sasa mahakama ya mafisadi inakuwa idle kwa "kukosa kesi za ufisadi"

Bado tuna safari ndefu sana Mkuu.

Wenzetu wapo na creativity kubwa..

Hongera kwa Kenya.

Sisi tupo so busy tunahangaika na Faru John.
 
Huu mradi hata kama ungekuja Tz kuna watu wangeponda tu, wangekuambia huu mradi hausaidii maskini au wa Tz wa kawaida hawana uwezo wa kununua gari mpya. Miradi mikubwa na mizuri ya Tz kamwe hawaoni uzuri wake hata ATCL saivi wameshaanza kuitukana tu, tujifunze na kupenda vya nyumbani na sio kuleta unafiki tu hapa.
 
Ndiyo ukweli Mkuu ukweli wa kusikitisha sana . Busy kutoiheshimu katiba, busy kuminya uhuru wa habari nchini na kujieleza, busy kutaka Watanzania tuishi kama mashetani, busy kutengua teuzi kisha kuteua tena, busy kuwakingia kifua mafisadi wa Lugumi, Escrow, IPTL, MV Uozo, Wakwapuzi wa bilioni 16 za wahanga ili tu wajipige vifua kwamba wameutokomeza ufisadi nchini na sasa mahakama ya mafisadi inakuwa idle kwa "kukosa kesi za ufisadi"

Bado tuna safari ndefu sana Mkuu.
Umenena Mkuu.
 
Biashara ngumu hii ya kuunga magari Africa, South Africa wamepata changamoto nyingi ikiwemo umuhimu wa kupiga marufuku kuingizwa kwa magari ''mitumba'' yaliyo na bei nafuu kuliko ya kuunganishwa kiwandani South Africa. Pia suala la mishahara midogo ilipelekea wafanyakazi kufanya migomo isiyokwisha, gharama za umeme, maji, kushindwa ku-export on-time according to order na kusababisha bei ya magari ya VW kuwa na bei kubwa kulinganisha na magari ya VW yanayozalishwa sehemu zingine za dunia. Maana yake Volkswagen (VW) ya South Africa inashindwa kupata soko nje ya South Africa kutokana na bei kubwa kulinganisha na washindani wa nje.

Je Volkswagen South Africa ambao ndiyo wamiliki halisi wa kiwanda cha Thika Volkswagen Kenya wamehamisha changamoto zao Kenya?

Volkswagen South Africa Will Start Making Cars in Kenya Again After 40 Years
Volkswagen will resume producing cars in Kenya by the end of the year as it looks to sell more vehicles across the East African region.

After a four decade pause in production by the German carmaker in Kenya, VW will establish an assembly plant to initially produce its Vivo model, President Uhuru Kenyatta and Thomas Schafer, Volkswagen South Africa's chief executive, said.

Emerging market production is familiar territory for VW, whose familiar Beetle model was a favorite on the streets of Mexico, but Kenya's car market is dominated by low-priced second-hand imports from countries such as Japan.

VW, which assembled cars in Kenya in the 1960s and 1970s, will join other brands already being put together in the country, including Isuzu, Toyota (tm, -0.46%), Nissan, and Mitsubishi.
"Volkswagen South Africa will now again establish an assembly plant to produce motor vehicles at the Kenya Motor Vehicle Manufacturers limited in Thika," Kenyatta said on Wednesday after meeting Volkswagen South Africa executives.

Kenya mostly assembles trucks, pick-ups and buses from kits supplied by foreign manufacturers, although data from the Kenya National Bureau of Statistics showed that the number of vehicles assembled between January and April was down 31% year-on-year to 2,258 vehicles.

The Kenya Vehicle Manufacturers Association (KVMA) attributed the slowdown to tough economic conditions for buyers, including high interest rates and cuts in government spending, while VW said it saw opportunity in the market.

"We believe that Kenya has got the potential to develop a very big fully-fledged automotive industry. The East African Community has got the potential, and today is the first step in this direction that we want to take with our passenger cars," Schafer said.

VW is the second-biggest auto maker by sales in South Africa after Toyota with its vehicles sold domestically as well as exported to the rest of Africa.

Kenyatta said that VW's assembly plant would begin with the Vivo and expand to a range of vehicles, with the first car expected to be rolled out before the end of the year.

Neither Kenyatta nor Schafer said how much VW was investing or what the plant's production capacity would be.
Source: Volkswagen Will Start Making Cars in Kenya Again After 40 Years
 
1482381209267.jpg
1482381217392.jpg
1482381224528.jpg
1482381228937.jpg
1482381234066.jpg
1482381239858.jpg

kwenye showroom tayari kuna magari sita yameshaundwa, bei ni 1.6m za kenya sawa na milioni 34 za tz upate vw jipyaaa zero mileage na gurantee ya miaka miwili au 100000km whichever comes first. Kwa watz shida ni likifika apo namanga mpakani tu, tra lazima wakunyooshe tu..
 
Biashara ngumu hii ya kuunga magari Africa, South Africa wamepata changamoto nyingi ikiwemo umuhimu wa kupiga marufuku kuingizwa kwa magari ''mitumba'' yaliyo na bei nafuu kuliko ya kuunganishwa kiwandani South Africa. Pia suala la mishahara midogo ilipelekea wafanyakazi kufanya migomo isiyokwisha, gharama za umeme, maji, kushindwa ku-export on-time according to order na kusababisha bei ya magari ya VW kuwa na bei kubwa kulinganisha na magari ya VW yanayozalishwa sehemu zingine za dunia. Maana yake Volkswagen (VW) ya South Africa inashindwa kupata soko nje ya South Africa kutokana na bei kubwa kulinganisha na washindani wa nje.

Je Volkswagen South Africa ambao ndiyo wamiliki halisi wa kiwanda cha Thika Volkswagen Kenya wamehamisha changamoto zao Kenya?

Volkswagen South Africa Will Start Making Cars in Kenya Again After 40 Years
Volkswagen will resume producing cars in Kenya by the end of the year as it looks to sell more vehicles across the East African region.

After a four decade pause in production by the German carmaker in Kenya, VW will establish an assembly plant to initially produce its Vivo model, President Uhuru Kenyatta and Thomas Schafer, Volkswagen South Africa's chief executive, said.

Emerging market production is familiar territory for VW, whose familiar Beetle model was a favorite on the streets of Mexico, but Kenya's car market is dominated by low-priced second-hand imports from countries such as Japan.

VW, which assembled cars in Kenya in the 1960s and 1970s, will join other brands already being put together in the country, including Isuzu, Toyota (tm, -0.46%), Nissan, and Mitsubishi.
"Volkswagen South Africa will now again establish an assembly plant to produce motor vehicles at the Kenya Motor Vehicle Manufacturers limited in Thika," Kenyatta said on Wednesday after meeting Volkswagen South Africa executives.

Kenya mostly assembles trucks, pick-ups and buses from kits supplied by foreign manufacturers, although data from the Kenya National Bureau of Statistics showed that the number of vehicles assembled between January and April was down 31% year-on-year to 2,258 vehicles.

The Kenya Vehicle Manufacturers Association (KVMA) attributed the slowdown to tough economic conditions for buyers, including high interest rates and cuts in government spending, while VW said it saw opportunity in the market.

"We believe that Kenya has got the potential to develop a very big fully-fledged automotive industry. The East African Community has got the potential, and today is the first step in this direction that we want to take with our passenger cars," Schafer said.

VW is the second-biggest auto maker by sales in South Africa after Toyota with its vehicles sold domestically as well as exported to the rest of Africa.

Kenyatta said that VW's assembly plant would begin with the Vivo and expand to a range of vehicles, with the first car expected to be rolled out before the end of the year.

Neither Kenyatta nor Schafer said how much VW was investing or what the plant's production capacity would be.
Source: Volkswagen Will Start Making Cars in Kenya Again After 40 Years
Yes we know what you really want to start ....
Already ministers Drive VWs
County govts are buying VWS

Hii news hauipendi Low key

Kanywe wembe
 
Kabogos County is winning man!!....kila major industry inaingia Thika .....In afew years itakuwa major player kama Guateng SA
 
Huu mradi hata kama ungekuja Tz kuna watu wangeponda tu, wangekuambia huu mradi hausaidii maskini au wa Tz wa kawaida hawana uwezo wa kununua gari mpya. Miradi mikubwa na mizuri ya Tz kamwe hawaoni uzuri wake hata ATCL saivi wameshaanza kuitukana tu, tujifunze na kupenda vya nyumbani na sio kuleta unafiki tu hapa.
Hayya mtanzania mwenye uchungu na nchi yako.
 
Wameweka kiwanda Kenya,lakini tageti yao kubwa ni E.A kwa ujumla. Tena zaidi ni TZ si kwingine.
 
Biashara ngumu hii ya kuunga magari Africa, South Africa wamepata changamoto nyingi ikiwemo umuhimu wa kupiga marufuku kuingizwa kwa magari ''mitumba'' yaliyo na bei nafuu kuliko ya kuunganishwa kiwandani South Africa. Pia suala la mishahara midogo ilipelekea wafanyakazi kufanya migomo isiyokwisha, gharama za umeme, maji, kushindwa ku-export on-time according to order na kusababisha bei ya magari ya VW kuwa na bei kubwa kulinganisha na magari ya VW yanayozalishwa sehemu zingine za dunia. Maana yake Volkswagen (VW) ya South Africa inashindwa kupata soko nje ya South Africa kutokana na bei kubwa kulinganisha na washindani wa nje.

Je Volkswagen South Africa ambao ndiyo wamiliki halisi wa kiwanda cha Thika Volkswagen Kenya wamehamisha changamoto zao Kenya?

Volkswagen South Africa Will Start Making Cars in Kenya Again After 40 Years
Volkswagen will resume producing cars in Kenya by the end of the year as it looks to sell more vehicles across the East African region.

After a four decade pause in production by the German carmaker in Kenya, VW will establish an assembly plant to initially produce its Vivo model, President Uhuru Kenyatta and Thomas Schafer, Volkswagen South Africa's chief executive, said.

Emerging market production is familiar territory for VW, whose familiar Beetle model was a favorite on the streets of Mexico, but Kenya's car market is dominated by low-priced second-hand imports from countries such as Japan.

VW, which assembled cars in Kenya in the 1960s and 1970s, will join other brands already being put together in the country, including Isuzu, Toyota (tm, -0.46%), Nissan, and Mitsubishi.
"Volkswagen South Africa will now again establish an assembly plant to produce motor vehicles at the Kenya Motor Vehicle Manufacturers limited in Thika," Kenyatta said on Wednesday after meeting Volkswagen South Africa executives.

Kenya mostly assembles trucks, pick-ups and buses from kits supplied by foreign manufacturers, although data from the Kenya National Bureau of Statistics showed that the number of vehicles assembled between January and April was down 31% year-on-year to 2,258 vehicles.

The Kenya Vehicle Manufacturers Association (KVMA) attributed the slowdown to tough economic conditions for buyers, including high interest rates and cuts in government spending, while VW said it saw opportunity in the market.

"We believe that Kenya has got the potential to develop a very big fully-fledged automotive industry. The East African Community has got the potential, and today is the first step in this direction that we want to take with our passenger cars," Schafer said.

VW is the second-biggest auto maker by sales in South Africa after Toyota with its vehicles sold domestically as well as exported to the rest of Africa.

Kenyatta said that VW's assembly plant would begin with the Vivo and expand to a range of vehicles, with the first car expected to be rolled out before the end of the year.

Neither Kenyatta nor Schafer said how much VW was investing or what the plant's production capacity would be.
Source: Volkswagen Will Start Making Cars in Kenya Again After 40 Years
Hii yote inategemea kama VW watapata soko linaloeleweka, lakini kampuni hizi kubwa kama VW wanakuja kustuka kwamba kuna soko la Afrika wakati muelekeo wa uzalishaji duniani umebadilika sana. Hizi kampuni zikakuja, kushinda na makampuni yaliyoanza uzalishaji chini ya miaka 50, kama ya Indian, China, na South Korea. Tofauti sio utaalamu au gari inayo dumu, tofauti itakuja kwenye bei na nini hiyo kampuni ita mu-offer nini cha ziada mteja. Sio lazima uwe na iPhone kuhesabiwa na wewe una smartphone, ukiwa na ka smartphone kaliko tengenezwa Indian au Brazil utaperuzi mtandao au hata kuingia Jamii Forum. Kwa hiyo VW au kampuni kubwa zote za magari duniani wajue kuwa soko la magari duniani limepanuka lakini wakati huo huo limekuwa gumu kuliko lilivyo zamani.
 
Back
Top Bottom