Ni rasmi sasa nimeingia kwenye penzi na binti wa duka langu, nichukue tahadhari zipi ili kuepuka shari kamili

Ni rasmi sasa nimeingia kwenye penzi na binti wa duka langu, nichukue tahadhari zipi ili kuepuka shari kamili

ni mbinu ipi nitumie mahusiano yetu yawe baina yetu bila kuingiliana kwenye biashara ?
Mfungulie biashara yake ili akila mtaji ale mtaji wake. La sivyo jiandae kuhesabu empty frames hapo dukani kwako miezi michache ijayo.

Unaonesha ubinafsi mkubwa sana, kwanza unachukulia advantage ya kuwa wewe ni boss kufanya ngono na huyo msichana. Na yeye hawezi kukataa maana akifanya hivyo anaogopa kupoteza kibarua, alafu proudly kabisa unasema huna future nae ila wewe unataka future ya biashara yako iende vyema ndio maana hutaki hayo mapenzi yenu yafike huko kwenye biashara sababu unajua kitakachotokea. Mkuu huo ni ubinafsi mkubwa sana na imagine kama una dada au mtoto wa kika afanyiwe hivyo.

Jitafakari, kama huna mpango na huyo binti na hutaki biashara yako ife basi mtoe hapo na mfungulie kibiashara au kubali kumlipa huo mshahara unaomlipa hapo bila yeye kufanya hiyo kazi hapo dukani na kazi yake iwe kukufurahisha wewe tu.
 
Wow😮, haya maisha yamekuja kuchange sana yaani jamaa anaomba ushauri penzi na mchepuko lisiathiri biashara this mean kwamba ni heri hata liathiri mahusiano na mkewe😂😂😂😂😂, Sound good ila ni sawa tu maana miwanawake ukishaiweka ndani inajisahau sana kiasi kwamba hadi umuhimu wao unakuwa hauonekani.
 
Huyo demu kabila gani?unaweza kuchukulia poa kwakuwa mdogo kiumri ila pengine nyuma yake wapo watu wazima wanaomshauri?utashangaa kabeba mimba,kitakachofuata utakuja kuanzisha uzi.
 
Ukifika mwaka na duka Ilo urudi hapa,na tutakufuatilia kweli kweli dogo nyie wenyewe ndio msababishao umasikini kwa wakuzungukao kisa tu Cha icho kidole Kati.

Yaani naomba baada ya mwaka uje utuambie kinachoendelea
 
Back
Top Bottom