Ni rasmi sasa nimeingia kwenye penzi na binti wa duka langu, nichukue tahadhari zipi ili kuepuka shari kamili

Kuna

Mimba .


Binti kuanza kufuja Hela za duka .

Tena kama ni duka la mahitaji ya mwanadam au nguo n.k , utakubali Shoooo.



Ninawajua jamaa watatu, ninawajua Mimi ,sio kutunga.

Wamefilisika sababu ya Kutembea na wadada hao wa maduka.
Hajui nguvu ya sex, power and money watu wanapambana wapata hivyo vitatu tu na sio vinginevyo
 
Kama mchagga jiandae akufilisi hadi ushangae😅😅😅😅
 

Kwa taarifa yako hapo ndio utakapo oa ukibisha niite wuuuh wuuuh nimekaa pale kwenye kiosk cha karibu n an duka lako
 
Kumbe ndio wewe nilikuja dukani kwako nikamuelewa binti nikataka kuomba number umekaa unaniangalia tu, nilivyonunua mahitaji yangu ukaingia ndani ya kiduka [emoji1]
 
Yaani unashauriwa halafu unapuuza, unakuja tena kuomba ushauri, dogo unatuchuliaje wanajf,??
Ndo maana siku izi napata uvivu sana kutype ushauri humu. Kuna weng wanakuja kuomba ushaur humu wakiwa wameshafanya decisions so tunatwanga maji kwenye kinu. Sitaabishagi vdole vyangu sanaa siku hizi. Kila mtu aamue anaaloona linamfaa. Mwisho wa siku kila mtu atabeba msalaba wake. Kama ameamua kufanya hvyo na anaona sawa well and good.

Uzuri mwaka huu mambo ni tit for tat. Haina kuchelewesha. Matokeo ni soon and Very Soon...
 
Majuto ni mjukuu. Ukitaka kujua kama umepata au umepatikana, yule mwanamke naye akipata mtu wa kumfanyia unachomfanyia huyo msichana wa dukani itaingia akilini. Sitashangaa kesho ukija hapa unalia kufilisika na kuburuzwa mahakamani kwa kutolipa matunzo ya mtoto. Mkumbaff mkubwa we. Acha tamaa za kijinga.
 
Kwahiyo unataka tukushauri namna bora ya kufanya uzinzi na binti bila kumuoa? Si ndio?? Sema ndio au hapana [emoji34]..
 
Dogo kazingua sana, analeta nyuzi kumi kumi za kuomba ushauri ambao haufati, pumbv zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…